Kardinali Gerhard Mueller wa Ujerumani asema Papa Benedict asingeweza kuthubutu kubariki Mashoga

The Assassin

JF-Expert Member
Oct 30, 2018
4,355
17,321
Katika siku ya kumbukumbu ya maka mmoja toka Papa Benedict afeariki, Kardinali Gerhard Mueller wa Ujerumani amesema Papa Benedict asingethubutu kutoa maelekezo yasiyo na kichwa wala miguu ya kubariki mashoga.

Kardinali Mueller amewahi kua mkuu ama mwenyekiti wa kanisa katoliki Ujerumani.

Mueller anamtuhumu Francis kwa kutoa waraka usio na kichwa wala miguu na ana nia ya kuligawa kanisa kwa matamko yake yasiyo na kichwa wala miguu.


View: https://twitter.com/FoxNews/status/1741529809543422239?s=19
 
Pope Benedict ndie papa msomi kuliko wote.
Alitumia gia ya afya ili ajiuzulu asimkosee Mola wake alijua ukienda kinyume na mnyama wa 666 au wazee wa suti nyeusi ni lazima wakuuwe.
Huyu wa sasa kaogopa kuwawa
 
Pope Benedict ndie papa msomi kuliko wote.
Alitumia gia ya afya ili ajiuzulu asimkosee Mola wake alijua ukienda kinyume na mnyama wa 666 au wazee wa suti nyeusi ni lazima wakuuwe.
Huyu wa sasa kaogopa kuwawa
Huyu wa sasa kazi yake ya kwanza ilikua U baunsa wa night clubs za mashoga huko kwao Argentina.
 
Back
Top Bottom