Uchaguzi 2020 Karatasi za kupigia kura katika uchaguzi wa mwaka huu zitachapishwa humu nchini au zitatoka nje ya nchi?

Salary Slip

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
47,026
144,382
Kwa anaefahamu,naomba atujuze kwani teyari mitandaoni watu wameanza kusema yao.

Halafu hivi JAMANA PRINTERS ndio kina nani hasa?

CC: CHADEMA
 
Kwa anaefahamu,naomba atujuze kwani teyari mitandaoni watu wameanza kusema yao.

Halafu hivi JAMANA PRINTERS ndio kina nani hasa?

CC: CHADEMA
Ni mmoja ya washitakiwa katika kesi ya uchochezi inayomkabili Mh. Tundu Lissu,pamoja na Mhariri wa Gazeti la Mawio, Simon Mkina na Jabir Idrisa. Pengine hii tender wamekuwa awarded kwa makubaliano ya kazi pasipo malipo in exchange ya wao kufutiwa mashtaka. Kwani uhusika wao katika kesi ni kwa wao kuchapisha hilo gazeti la Mawio lililomnukuu T.L akitoa matamshi yaliyo onekana kuwa ya kiuchochezi.
 
Kuna hoja hapa ya kutafakari!
 
Kuchapishwa ndani ama nje si hoja ,muhimu ni control zoezi kura ,upigaji,kuhesabu, nakala za matokeo tunahitaji mawakala halisia kila kituo.
 
When Kagera region was struck by an earthquarke hundreds of people dead and without shelter and the Magui government collected money from around the world. when M went there he told the people he did not order the earthquark to strike them so no money for them

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom