karaha na utamu wa vigonela..................

Rutashubanyuma

JF-Expert Member
Sep 24, 2010
219,470
911,174
Neno vigonela (uwingi) au kigonela (umoja) ni la lugha ya Kihehe na maana yake (jinsi nilivyolielewa mimi) ni kukosa mahitaji fulani kwa muda mrefu..................................

Baada ya msamiati tajwa kupewa maana zaidi katika lugha ya kiswahili kwa maana ya kuazimwa.......................na sasa hufahamika kuwa ni kiu ya muda mrefu ya kutaka kujaamiana..........................

Wewe ulikwisha kuwa ni vigonela? Kama ni ndiyo ni kwa sababu zipi na ulichukua hatua zipi kukata kiu?

kama ni hapana ni kwa nini yawa hivyo hata ukatofautiana na mahitaji ya kimaumbile?

Furaha ya vigonela ni kutukumbusha ya kuwa tunahitaji tuwe pamoja na jinsia iliyotofauti na tuliyonayo....................na kero ya vigonela ni kuwa kiu yake ni kali haina masihara...............na hutuacha waathirika na maumivu makali yanayodai kutulizwa siyo na punyeto bali "mguso" na jinsia tofauti na yetu.........
 
ukiwa na tattizo hili ni noma hata shughuli nyingine hazifanyi ,hasa pale unapojua kabisa kunamtu anaweza akakutatulia hili tatizo.ukiwa huna mtu kabisa ni rahisi kulipotezea kwani huwezi kutamani kula maini wakati unajua kabisa pesa ya kununulia hayo maini huna.

Acheni masihara hii kitu ni noma ukiikosa kwa muda mrefu. Watu tume experience the difference
 
ukiwa na tattizo hili ni noma hata shughuli nyingine hazifanyi ,hasa pale unapojua kabisa kunamtu anaweza akakutatulia hili tatizo.ukiwa huna mtu kabisa ni rahisi kulipotezea kwani huwezi kutamani kula maini wakati unajua kabisa pesa ya kununulia hayo maini huna.Acheni masihala hii kitu ni noma ukiikosa kwa muda mrefu.Watu tume experience the difference

inabidi iwepo mikakati ya muda mrefu ya kuhakikisha ya kuwa hali hii haijitokezi na kusababisha maumivu...................lakini tatizo ni la kiubongo zaidi......................................kufunga kunaweza kupunguza makali hapo..........
 
ukiwa huna mtu ni rahisi kulinyutia ila ukiwa na mtu zen awe anazingua patamu hapo mana utatamani hata ukambake loh!
mi nishawai kumbaka boyfriend wangu mara mbili .........mi nataka ye hataki mi nikamshika kwanguvu badae nikamuomba msamaha yakaisha ila mm tayari nishapata tiba
 
hapa nimekuaminia mama,wenzio hufa na vijiba vya roho....kubwa ju aka big up
 
sisi huku arusha tunaita kipururu..

ninashukuru kwa kunielimisha...........................nipo A-Town kwa karibu miaka 20 lakini hilo hata silifahamu......................lakini mantiki ni ileile.................................kata kiu au fungamana na mfungo.......................
 
ukiwa huna mtu ni rahisi kulinyutia ila ukiwa na mtu zen awe anazingua patamu hapo mana utatamani hata ukambake loh!
mi nishawai kumbaka boyfriend wangu mara mbili .........mi nataka ye hataki mi nikamshika kwanguvu badae nikamuomba msamaha yakaisha ila mm tayari nishapata tiba

Wabarikiwe wanawake jasiri kama wewe popote duniani!
 
Wabarikiwe wanawake jasiri kama wewe popote duniani!

wako wachache sana wanaodai haki yao na kukumbuka kuomba msamaha baada ya kukata kiu.............
 
Back
Top Bottom