Ngigana
JF-Expert Member
- Apr 16, 2010
- 2,102
- 1,436
huyu ni kapuya jamani, naona ni yeye kabisa, aliyewahi kuwa waziri wetu muda mrefu...anayo pia bendi ya mziki wa kunengua, pia ni mwislam mwadilifu sana aliyewahi kuwahamasisha waislam nchini wawavalishe watoto wao baibui/buibui/a.k.a ninja....speechless!
Huko Kaliua ana miliki nyumba ya kulala wageni, ukiongozana na mtu wa jinsia tofauti na yako sharti uonyeshe cheti cha ndoa. Nashindwa kuelewa hapo akiulizwa cheti cha ndoa na huyo binti anacho?? Nyani haoni......