Kapuya, hii kali...! Ipe maneno picha hii

Mbona mnamuonea huyu jamaa wakati kila mtu kule kwenye ngwasuma ndio wana fanya hivyo hivyo? Hakuna kosa profesa anajinafasi baada ya kazi na hata JK nae huwa anajinafasi hivyo hiovyo akiwa huku A town!!
 
HHIHIII

Kapuya4.jpg

Mtoto wa mwezio mkubwa mwenzi... we Binti geusa kwenye hii mtandao wa robo shilingi!!!!!
 
Mzee anawaza Viagra imetusaidia sana wazee kwenda sambamba na vibinti.

Binti anawaza hapa pango ya nyumba mzee inabidi anilipie na nikimpagawisha labda atanifungulia saluni na ki-Vitz cha kuwakoga mtaani.
 
ha hhaaaaaaaaaaa uwiiiiiii, huyo mdada inaelekea kacheza mpaka jasho la kwapa limemtoka!!
 
binti atakuwa anasema
wapiga kura wa urambo mlie tu.............lol
 
huyu ni kapuya jamani, naona ni yeye kabisa, aliyewahi kuwa waziri wetu muda mrefu...anayo pia bendi ya mziki wa kunengua, pia ni mwislam mwadilifu sana aliyewahi kuwahamasisha waislam nchini wawavalishe watoto wao baibui/buibui/a.k.a ninja....speechless!
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom