NGULI
JF-Expert Member
- Mar 31, 2008
- 4,803
- 638
Nilikua namaanisha mkewe rais Kibaki...huyu hapa..
Unatisha watoto wetu mkuu......imagine avae penzi huyu jamani si balaaNilikua namaanisha mkewe rais Kibaki...huyu hapa..
Ab T...you are torturing our eyes, please....Lol
we ngoja Mama Lucy Kibaki aige haya ya Michelle Duh!!! ni miguu ambayo haifai kuonekana in publik kabisa!!!! grrrrrrrrrrrrr
mwili unamruhusu kuvaa vile .
Sababu mojapo ya Obama kususa kuenda Kenya.....
instead mama salma kutumia mita zaidi ya 8 kushona yale mavazi yake nae apige nyanya puzo sometimes....Dayuum dude...you're harsh...
But I don't get why people are so fixated with Michelle. Hata angevaa suruali kuna ambao wangemaindi kwa nini kavaa suruali kwenye joto kali namna hiyo...kama wale wanaomaindi kwa nini Kikwete kampa pipi bwa dogo mmoja huko Lindi!! Lol@Miafrika's logic
first lady wetu atapendeza!