- Thread starter
- #21
Mkuu hii umeniacha hoi.Mwanakijiji anaishi kwa Jf anachukua habari hapa anaenda kuziuza kwenye magazeti kama KULIKONI na Tanzania Daima.ama kweli watu wako mjini kwa mgongo wa JF.KAMA ALIVYO KANJANJA WILLY EDWARD.Kanda2,
Unahangaika na hao akina Mwita ambao kwao Dar ni exit tu, si unaona reference zake ni Mwanakijiji and the like. Kwao wao Mwanakijiji ndio mwisho wa kila kitu kwa kuwa wametoka nae milimani wote.