Kanivutia huyu kijana

NATA

JF-Expert Member
May 10, 2007
4,492
1,311
Jana katika kipindi cha je tutafika channel ten kinachoongozwa na Makwaiya

Nimevutiwa sana na hoja za huyu kijana Sabato akiwa na makada Mzee Butiku na Kibamba

Ambaye aliieleza wazi mtazamo wa vijana wengi kisiasa na kiuchumi kuwa vijana wamekosa matumaini kabisa na wanafanya kazi kubwa ya kuhakikisha nchi inakuwa na mabadiliko.
Vijana wanaona kabisa kwamba nchi imepoteza dira.

Kijana aliweza kushawishi makada wa CCM waliokuwepo kwa wao pia kukubaliana na huyo kijana kuwa ni kweli viongozi wa ccm wanaenda kinyume na katiba ya ccm, na hii ndiyo imepelekea mmomonyoko wa maadili so ccm inatakiwa kujidefine upya ili kurudisha imani na matumaini kwa wanachama na wananchi kwa ujumla . Chama kimekuwa si cha wakulima na wafanyakazi tena kama kilivyokuwa hapo mwanzo.

Je wewe kama kijana unafanya nini kuikomboa hii nchi ungana na kina Sabato wanaongalia mabo kwa mapana na kumwaga hoja zenye kujenga .

Wao kijiwe chao sasa hivi wanasoma katiba na wanaangalia ni wapi nchi imedondokea kutoka azimio la Arusha.
 
I concur with you.The boy also impressed me.Vijana kama hawa wanahitaji kuendelezwa.Very diagnostic.
 
mi nachangia humu JF.....hiki ni chombo kimojawapo cha kuleta mabadiliko chanya

Safi kabisa na unawasaidiaje vijana ambao hawapo jf kutambua jukumu la kuleta mabadiliko?
 
kijana anaongea maelezo safi siku zote za mijadala
hawa ndio wanaume wa ukweli
 
Kwa kweli yuko safi, tatizo vijana kama hawa ni chachu na wakijulikana tu na akina R.A wanawanunua au wanawamaliza kabisa .
Mungu bariki Tanzania na vijana wake
 
Impressive! Mchango wake ni mzuri sana! Jina lake kamili ni nani? Background yake?
 
tatizo ni kwamba majukwaa kama haya JF,yangetumika ipasavyo tungewapata kina sabato nyamsenda weengi sana,badala yake humu watu hawachemshi ubongo ili kujibu hoja kwa hoja nzito,bali panageuzwa kama sehemu ya mipasho.
Pia mod anapotezea sana hoja zenye ukinzani zaidi sijui kulikoni,,au EL ameishasali humu ndani?
 
Back
Top Bottom