Bavaria
JF-Expert Member
- Jun 14, 2011
- 53,102
- 53,382
Nipo fresh kabisa.mi Niko poa kabisa yaani!
Sijui wewee!
Nipo fresh kabisa.mi Niko poa kabisa yaani!
Sijui wewee!
Unataka kunisubiri pia?Njoo tupeane pumziko wakati unasubiria hiyo miaka10
poa poaNipo fresh kabisa.
Wote tunasubiri.... Sasa wakati tunasubiri mbavu zetu let's be togetherUnataka kunisubiri pia?
Siku yako ilikuwaje?poa poa
Hata mi nadhani iwe hivyo.Wote tunasubiri.... Sasa wakati tunasubiri mbavu zetu let's be together
Wasalimie huko ambapo mi sipafahamu.Nashukuru tuko vizuri
Mungu mwema!
Kabisa... Mana hakuna namnaHata mi nadhani iwe hivyo.
No strings attached.
Wataskia kakaa...!!Wasalimie huko ambapo mi sipafahamu.
Mkoani hakuna fursa.Wataskia kakaa...!!
Sie wa hapa hapa makao makuu ya jf!
Mkoani hatupawezi!!
Mi mkoa hapana!Mkoani hakuna fursa.
Hata wazee wanakuja mjini kupiga mishe.
Mikoani hakufai.
Mambo yako yanasemaje?Kabisa... Mana hakuna namna
Dodoma pana uzuri gani?Mi mkoa hapana!
Dodoma mjini pazuri kidogo!!
Dar ndo mpango mzima....
ngoja tuendelee kuwepo kuwepo kwanzaDaah hz ndoa hizi!!