You have immaterial facts.Not admissible.KIINGEREZA HUJUI UNATAKA WAKULETEE WATAALAMU WA KISUKUMA.PAMBANA NA HAO HAO WAZUNGU.ELIMU NI GHARI MKUU ACHA KULALAMIKA KANISA KATOLIKI LIKITOKA KWENYE SEKTA YA ELIMU VYUO VITAKAVYOBAKI NI VYA KATA TU.WANAFUNDISHA KWA KISWAHILI
HE HE KIINGEREZA GANI HICHO! umetafsiri kwa Kiswahili.shida tunayo hii nchiYou have immaterial facts.Not admissible.
Kanisa katoliki lilianzisha college nyingi za vyuo vikuu kimihemuko tu kutafuta pesa wakati hawana walimu na vifaa. Chuo cha Udaktari kama kile cha Songea, Peramiho na Ifakara ni feki. Havina walimu wala vifaa. Ni kuungaunga tu. Usanii mtupu. Huko ni kuweka rehani afya za watanzania kwa ajili ya uroho wa pesa za ada.
Naungana na Mzee Mkinga wa TBC, vyuo hivyo vifungwe. Hata serikali yenye pesa za kodi haijaanzisha utitili wa vyuo kama vya Kanisa katoliki. Vyuo hivi vinategemea kuendeshwa kwa ada tu. Hakuna uwekezaji wowote toka popote.
Huu ni upuuzi. Kanisa katoliki libaki na vyuo vichache kadiri ya uwezo wao kama Mwanza, Bugando, RUCU na Mwenge.
Tusichezee Elimu ya Tanzania kwa ajili ya uroho wa pesa za mikopo zinazotolewa na serikali.
These are concrete facts existing in those 2 colleges. I am of the strong view that these colleges should be closed as soon as practicable. Health of th citizens is paramount.
Kwani hospital zao mnazotibiwa huwa mnaenda na madakrati wenu. Kwa nijuavyo hospital za makanisa ndio zinaongoza nchini. Kwani mhimbili na UDSM haitoi vilaza? Hao Maprof na makanjanja wengine ktk ccm walisoma ktk vyuo vya udaktari vya wakatoliki? Yule mgonjwa wa mguu kupasuliwa kichwa alifanyiwa na graduate wa katoliki?Kweli kabisa, Graduate doctors kutoka hivyo vyuo ni vilaza wa kutupwa....alafu ada kwa mwaka utasikia 6 million
Hoja yangu ni ya msingi sana. Mimi mwenyewe ni mkatoliki. Lakini siwezi kuunga mkono mambo yenye madhara makubwa kwa taifa. Ifakara na Songea walimu ni wa kukodikodi tu. These are facts. Mwenye contrary facts azilete hapa. Facts zinapingwa kwa facts. Watu mnaleta udini na blah blah nyingi bila kuleta facts. Ktk hili kanisa langu katoliki LIMECHEMKA.
Those colleges must be closed. They are sham!. Kuna watu humu wanasema ETI kanisa katoliki ni makini kwenye elimu. This is fallacy of generalization. Ni uvivu wa kufikiri. Hiyo ni historia ya kale. Leo hilo halina uhalisia. We are living now.
My serious allegations are based on th facts hic et nunc(now). Nawaombeni nendeni kwenye vyuo hivyo viwili mkajiridhishe. Hakuna kitu huko. Ni blahblah tu. Nashangaa kwanini TCU haijavifunga vyuo hivyo. Justice has no favourate daughter, but truth. Huo ni ukweli. Ili kulinda UHAI wa wananchi, Vyuo hivyo vifungwe kwanza ili wajipange. Walikurupuka kuvianzisha.
Kanisa katoliki lilianzisha college nyingi za vyuo vikuu kimihemuko tu kutafuta pesa wakati hawana walimu na vifaa. Chuo cha Udaktari kama kile cha Songea, Peramiho na Ifakara ni feki. Havina walimu wala vifaa. Ni kuungaunga tu. Usanii mtupu. Huko ni kuweka rehani afya za watanzania kwa ajili ya uroho wa pesa za ada.
Naungana na Mzee Mkinga wa TBC, vyuo hivyo vifungwe. Hata serikali yenye pesa za kodi haijaanzisha utitili wa vyuo kama vya Kanisa katoliki. Vyuo hivi vinategemea kuendeshwa kwa ada tu. Hakuna uwekezaji wowote toka popote.
Huu ni upuuzi. Kanisa katoliki libaki na vyuo vichache kadiri ya uwezo wao kama Mwanza, Bugando, RUCU na Mwenge.
Tusichezee Elimu ya Tanzania kwa ajili ya uroho wa pesa za mikopo zinazotolewa na serikali.
These are concrete facts existing in those 2 colleges. I am of the strong view that these colleges should be closed as soon as practicable. Health of th citizens is paramount.
Ni kweli,kuwa na chuo cha udaktari sio sawa na kuwa na chuo cha ualimu,au siasa, is more than that,ni kweli wanapapara,pale ifakara wale wanafunzi walikuwa wanasoma kwa shida sana,hakuna walimu ,walimu wanakodishwakodishwa why?Bora wajiandae ili wawe na chuo kizuri ,