Kanisa katoliki liache kuanzisha vyuo vya Udaktari wakati wataalamu halina

Mtoa mada ukipata Anaye kusaport kwenye hii thread yako Nitag mkuu.
 
Mimi sio mkatoliki ! ila jambo hili wasiangaliwe wakatoliki labda tu kwa wivu! SERIKALI IINGILIE KATI KUFANYA TAFITI NA UCHUNGUZI KWENYE VYUO VYOTE VINAVOANZISHA KOZI ZA UDAKTARI ! KUANZIA sijui medical attendants , sjui officer huko wanaanza kuunga unga na mwisho wake mtu anafikia kutibu na kuchezea mwili wa mwandamu! ELIMU YA UDAKTARI IHESHIMIWE KAMA ILIVOKUWA MWANZO! msiishie kuwasema wakatoliki angazeni na kwengine mueleweke hasa mnataka nini
 
Ni kweli,kuwa na chuo cha udaktari sio sawa na kuwa na chuo cha ualimu,au siasa, is more than that,ni kweli wanapapara,pale ifakara wale wanafunzi walikuwa wanasoma kwa shida sana,hakuna walimu ,walimu wanakodishwakodishwa why?Bora wajiandae ili wawe na chuo kizuri ,
 
Hoja yangu ni ya msingi sana. Mimi mwenyewe ni mkatoliki. Lakini siwezi kuunga mkono mambo yenye madhara makubwa kwa taifa. Ifakara na Songea walimu ni wa kukodikodi tu. These are facts. Mwenye contrary facts azilete hapa. Facts zinapingwa kwa facts. Watu mnaleta udini na blah blah nyingi bila kuleta facts. Ktk hili kanisa langu katoliki LIMECHEMKA.

Those colleges must be closed. They are sham!. Kuna watu humu wanasema ETI kanisa katoliki ni makini kwenye elimu. This is fallacy of generalization. Ni uvivu wa kufikiri. Hiyo ni historia ya kale. Leo hilo halina uhalisia. We are living now.

My serious allegations are based on th facts hic et nunc(now). Nawaombeni nendeni kwenye vyuo hivyo viwili mkajiridhishe. Hakuna kitu huko. Ni blahblah tu. Nashangaa kwanini TCU haijavifunga vyuo hivyo. Justice has no favourate daughter, but truth. Huo ni ukweli. Ili kulinda UHAI wa wananchi, Vyuo hivyo vifungwe kwanza ili wajipange. Walikurupuka kuvianzisha.
 
Kiingereza hujui unataka wakuletee wataalamu wa kisukuma. Pambana na hao hao wazungu. Elimu ni ghari mkuu acha kulalamika kanisa katoliki likitoka kwenye sekta ya elimu vyuo vitakavyobaki ni vya kata tu.Wanafundisha kwa kiswahili
 
KIINGEREZA HUJUI UNATAKA WAKULETEE WATAALAMU WA KISUKUMA.PAMBANA NA HAO HAO WAZUNGU.ELIMU NI GHARI MKUU ACHA KULALAMIKA KANISA KATOLIKI LIKITOKA KWENYE SEKTA YA ELIMU VYUO VITAKAVYOBAKI NI VYA KATA TU.WANAFUNDISHA KWA KISWAHILI
You have immaterial facts.Not admissible.
 
Kweli kabisa, Graduate doctors kutoka hivyo vyuo ni vilaza wa kutupwa....alafu ada kwa mwaka utasikia 6 million
 
Kanisa katoliki lilianzisha college nyingi za vyuo vikuu kimihemuko tu kutafuta pesa wakati hawana walimu na vifaa. Chuo cha Udaktari kama kile cha Songea, Peramiho na Ifakara ni feki. Havina walimu wala vifaa. Ni kuungaunga tu. Usanii mtupu. Huko ni kuweka rehani afya za watanzania kwa ajili ya uroho wa pesa za ada.

Naungana na Mzee Mkinga wa TBC, vyuo hivyo vifungwe. Hata serikali yenye pesa za kodi haijaanzisha utitili wa vyuo kama vya Kanisa katoliki. Vyuo hivi vinategemea kuendeshwa kwa ada tu. Hakuna uwekezaji wowote toka popote.

Huu ni upuuzi. Kanisa katoliki libaki na vyuo vichache kadiri ya uwezo wao kama Mwanza, Bugando, RUCU na Mwenge.

Tusichezee Elimu ya Tanzania kwa ajili ya uroho wa pesa za mikopo zinazotolewa na serikali.
These are concrete facts existing in those 2 colleges. I am of the strong view that these colleges should be closed as soon as practicable. Health of th citizens is paramount.

Ulinimaliza ni hapo uliposema "HATA serikali yenye pesa" na hapo uliposema "Uroho wa pesa za mikopo". Waswahili wengi mkiongozwa na akina Lipumba na Zitto, hamtaki kazi mnataka kukaa sehemu km minyoo ili mle bure.

Nyie ndio mkiajiriwa mnasema mmepata ulaji.Nyie ndio huwa hamna uwezo wa kujua ktk macho yako unaona serikali ina hela, ila hamjaweza piga mahesabu wizi wa ccm na wazee wenu.Hamjapiga hesabu mahitaji ya wananchi na jinsi hela zilivyo kidogo sana.

Nyie ndio hata mkipigwa viboko hamuamini kwamba serikali inafilisika. Hapo kwenye uroho wa hela ndio umemaliza kabisa.Kwani miopo ni bure?Na wanaokopa wanawapa chuo bure?Kwanini na wewe usifungue chuo chako kilicho bora?Au kile pale kwenye transforma nacho kipo hoi?
 
Hapo umeonyesha chuki zako kwa kanisa,ungeweza kutaja majina ya vyuo bila kutaja mmiliki na ungetaja vyuo vingi tu vya private kama una hoja ya ubora wa vyuo.
 
Kweli kabisa, Graduate doctors kutoka hivyo vyuo ni vilaza wa kutupwa....alafu ada kwa mwaka utasikia 6 million
Kwani hospital zao mnazotibiwa huwa mnaenda na madakrati wenu. Kwa nijuavyo hospital za makanisa ndio zinaongoza nchini. Kwani mhimbili na UDSM haitoi vilaza? Hao Maprof na makanjanja wengine ktk ccm walisoma ktk vyuo vya udaktari vya wakatoliki? Yule mgonjwa wa mguu kupasuliwa kichwa alifanyiwa na graduate wa katoliki?
 
Hata mbuyu ulianza kama mchicha usiwe mtu ws kulalamika tu.

Ni bora ungekuja na mapendekezo je Kanisa lifanye nini kuimarisha vyuo vyake na sio kulalamika

Unajua kuwa mpaka leo taifa halina wataalamu wa mafuta wala gesi wa kutosha

Unajua kuwa mpaka leo mtoa dawa za usingizi specialist ni mmoja tu Tanzania

Unajua Kuwa mpaka leo Neurologist specialist hawazidi hata 5 nchi nzima?

Kama umeona ni tatizo ni bora ungekuja na solution

Msomi halalamiki bali anakuja na mapendekezo

Ndio maana Serikali ikaruhusu Sharing katika utoaji wa huduma za jamii unajua gharama za kuanzisha chuo cha udaktari?

Baada ya muda mfupi kwa kutegemea ada za wanafunzi vyuo vitakuja kuwa bora uwe na Subira,Mfano Chuo kama cha st Fransis/ifakara nafikiri karibia Md wa 3 ndo watatoka

Na udaktari sio kukaa darasani tu vitendo ndo muhimu unaweza kumaliza Vitabu vyote vya Anatomy akaja mgonjwa bado ukamkimbia tu
 
Hoja yangu ni ya msingi sana. Mimi mwenyewe ni mkatoliki. Lakini siwezi kuunga mkono mambo yenye madhara makubwa kwa taifa. Ifakara na Songea walimu ni wa kukodikodi tu. These are facts. Mwenye contrary facts azilete hapa. Facts zinapingwa kwa facts. Watu mnaleta udini na blah blah nyingi bila kuleta facts. Ktk hili kanisa langu katoliki LIMECHEMKA.
Those colleges must be closed. They are sham!. Kuna watu humu wanasema ETI kanisa katoliki ni makini kwenye elimu. This is fallacy of generalization. Ni uvivu wa kufikiri. Hiyo ni historia ya kale. Leo hilo halina uhalisia. We are living now.
My serious allegations are based on th facts hic et nunc(now). Nawaombeni nendeni kwenye vyuo hivyo viwili mkajiridhishe. Hakuna kitu huko. Ni blahblah tu. Nashangaa kwanini TCU haijavifunga vyuo hivyo. Justice has no favourate daughter, but truth. Huo ni ukweli. Ili kulinda UHAI wa wananchi, Vyuo hivyo vifungwe kwanza ili wajipange. Walikurupuka kuvianzisha.

Sasa ni nani ni makini Tanzania?Unajua gharama za medical course wewe unayejiita msomi ila ni muumini wa ule upumbavu kuwa serikali ina hela nyingi haifilisiki?Wale ambao ukiwashika kwa wizi wanadai ni wivu kwa vile waliowashika wamekosa mgao na sio kwamba kuiba ni kosa? Unajua serikali yako imapewa lift tuu? Unataka wakatoliki wawatunze tuu na jinsi mlivyo hamna shukrani mtataka zaidi.

Kwa nyie kukosa chuo , huku mkitetea CCM nyonyaji ili mkale bure km minyoo ni unyonyaji mbaya sana. Sasa km hutaji catholic waanzie ktk standard ya nchi wakati huna mchango zaidi ya kuwa consumer, unataka wakatoliki wauze hadi watoto wakutunze wewe?Utawarudishia nini?Utakuwa mkatoliki? Umeangalia matukio hospital za serikali, muhimbili,mwananyamala na kwingine nchini?Hayo matukio walifanya wakatoliki?
 
Kanisa katoliki lilianzisha college nyingi za vyuo vikuu kimihemuko tu kutafuta pesa wakati hawana walimu na vifaa. Chuo cha Udaktari kama kile cha Songea, Peramiho na Ifakara ni feki. Havina walimu wala vifaa. Ni kuungaunga tu. Usanii mtupu. Huko ni kuweka rehani afya za watanzania kwa ajili ya uroho wa pesa za ada.

Naungana na Mzee Mkinga wa TBC, vyuo hivyo vifungwe. Hata serikali yenye pesa za kodi haijaanzisha utitili wa vyuo kama vya Kanisa katoliki. Vyuo hivi vinategemea kuendeshwa kwa ada tu. Hakuna uwekezaji wowote toka popote.

Huu ni upuuzi. Kanisa katoliki libaki na vyuo vichache kadiri ya uwezo wao kama Mwanza, Bugando, RUCU na Mwenge.

Tusichezee Elimu ya Tanzania kwa ajili ya uroho wa pesa za mikopo zinazotolewa na serikali.
These are concrete facts existing in those 2 colleges. I am of the strong view that these colleges should be closed as soon as practicable. Health of th citizens is paramount.

Hauwezi ukaamini lakini ndio ukweli Kanisa Katoliki halina chuo hata kimoja Tanzania. East Africa yote Kanisa Katoliki lina chuo kimoja tu kinaitwa Catholic University of East Africa - CUEA, mliulize Kanisa Katoliki la Tanzania limepata wapi hadhi ya kuita shule zake Catholic Universities. Jiulize kwa nini katika jina SAUT hakuna neon "Catholic"

Msitapeliwe!
 
Ni kweli,kuwa na chuo cha udaktari sio sawa na kuwa na chuo cha ualimu,au siasa, is more than that,ni kweli wanapapara,pale ifakara wale wanafunzi walikuwa wanasoma kwa shida sana,hakuna walimu ,walimu wanakodishwakodishwa why?Bora wajiandae ili wawe na chuo kizuri ,

Unajenga hoja km mtu aliyepo ktk mzunguko round about.Nani kakuambia hizo fani nyingine ni za hovyo kuliko udaktari?Siasa mbaya si ndio imezaa CCM mbaya, inayopanga sera mbaya za afya, uchumi na tafiti, na hata kuwa na mamlaka dhaifu za kuthibiti wazembe,na wasio na viwango ktk sector nyingine ikiwepo afya? Kwa akili za kijamaa na kipuuzi ni kwamba walimu ndio sio muhimu ,sasa mnawapa ualimu waliofeli,ili nao wakazalishe waliofeli zaidi na zaidi.

Ndio maana leo tuna watu waijnga kabisa.Huwa wanajificha nyuma ya ujinga kuwa ni chuki binafsi, sijui ubaguzi etc. Kwa akili hizi hamtokaa mjue kwanini, katoliki wanawapiga bao. Kwa taarifa yako sasa hivi wakatoliki wanajiendesha miradi mingi kwa michango kidogo kidogo ya waumini wao.

Nyie endeleeni kuwa minyoo, gombanieni kwenda kula kodi za wakatoliki na wengine wasiokimbilia madaraka. Ipo siku watafunga mirija .
 
Back
Top Bottom