Kaniacha ghafla, nimechoka na mahusiano nimeamua kuwa single

Mambo kama haya ndo yanayofanya vijana tuwe na wanawake wengi...pole sana mkuu,just be strong.
 
Heri kakuambia kwa heshima hivyo.... Ungeanza kugongewa Vibaya mno, tena kwa kujionesha Kuwa anagongwa... Kwann ulazimishe asilolitaka... Nenda katafute demu kwa afya sio kwa kuwekeza utadhani atakupa dhahabu!

leo leo nikatafute mwingine ? wewe
 
katika mahusiano kuna mengi, labda mlivyoanza mahusiano alitegemea uwe aina ya mwanaume anayemtaka sasa unakuta hawezi kukurekebisha maybe, amevumiliaaaa mambo flani labda yakimkera mwishowe ameamua kuachana nawe. kaa utulize akili ipo siku utaongea naye kama kaamua mwenyewe bila kukosana
 
DA I WISH IWE LEO MDADA NI TETERE SI KIDOGO JAMAN WHT VITU VIZRURI HUTLEZA ?
 
sombeti
Najua unadaka maon ya watu ili yakusadie so inakuwaje useme nakushauri kichawi basi ndiyo tatizo lako hata mwanamke alitambua unaendesha maisha yenu kwa misingi ya mfume dume .

cha msingi unatakiwa ubadilike la sivyo kila mwanamke atakuacha kwa maneno yale yale
NIMECHOKA NATAKA KUWA SNGLE

KUISHI NA MWANAMKE KUNAITAJI AKILI
 
Pole ndugu. I can feel the pain. Huna jinsi. Utaumia roho na ikibidi kulia utalia ila yatapita
 
Back
Top Bottom