Kaniacha ghafla, nimechoka na mahusiano nimeamua kuwa single

Pole sana haya maisha ndivyo yalivyo mwenyewe nmekumbwa na majanga ya aina hyo wiki iliyopita nimelia sana nilishindwa hata nimwambie nani mwanaume nilimpenda sana had kupitiliza lkn nashangaa kakumbwa na nn hpa nilipo had naumwa vidonda vya tumbo lkn siachi kumwomba mungu na kumshukuru kwa yote maana yawezekana mungu kaniepusha na kitu. Cha kukushauri kaa tuliza akili mwambie mungu asante kwa yote amin utapata mwingine ambaye mtapendana zaid na atakuwa na mapenzi ya dhati kwako
 
sombeti
Najua unadaka maon ya watu ili yakusadie so inakuwaje useme nakushauri kichawi basi ndiyo tatizo lako hata mwanamke alitambua unaendesha maisha yenu kwa misingi ya mfume dume .

cha msingi unatakiwa ubadilike la sivyo kila mwanamke atakuacha kwa maneno yale yale
NIMECHOKA NATAKA KUWA SNGLE

KUISHI NA MWANAMKE KUNAITAJI AKILI

haya umeshinda
 
Pole sana haya maisha ndivyo yalivyo mwenyewe nmekumbwa na majanga ya aina hyo wiki iliyopita nimelia sana nilishindwa hata nimwambie nani mwanaume nilimpenda sana had kupitiliza lkn nashangaa kakumbwa na nn hpa nilipo had naumwa vidonda vya tumbo lkn siachi kumwomba mungu na kumshukuru kwa yote maana yawezekana mungu kaniepusha na kitu. Cha kukushauri kaa tuliza akili mwambie mungu asante kwa yote amin utapata mwingine ambaye mtapendana zaid na atakuwa na mapenzi ya dhati kwako

SAWA MUHANGA ILA NI NGUM VIDONDA VYA TUMBO SINTOPATA ILA NAHIS MOYO WAMOTO SII KIDOGO
 
Pole mkuu hili game ndio lilivo hawa viumbe kwa kukengeuka ni noma tena wanakengeukaga kipind u ar clueless and very relaxed ndio anakuachia manyoya we jitahid kukata mawasiliano no call no text ukiweza kumentain hii rule kwa miez mitatu mfululizo itakua zamu yake kulia, wenzako tumekua mafilosofa kwaajil ya kukengeukiwa mpaka saiv I can smell a danger from far away so the destiny is mine either nitoke nduki au nifanye massive attack ila iliufikie level hiz lazima upitie magumu mengine mengi sisiyoelezeka ndo unakua legend
 
usijibu kitu mkuu.......fanya sherehe....Mungu amekukwepesha na kitu mbaya mno....katoe na shukrani j2 hii...
Pole mkuu hili game ndio lilivo hawa viumbe kwa kukengeuka ni noma tena wanakengeukaga kipind u ar clueless and very relaxed ndio anakuachia manyoya we jitahid kukata mawasiliano no call no text ukiweza kumentain hii rule kwa miez mitatu mfululizo itakua zamu yake kulia, wenzako tumekua mafilosofa kwaajil ya kukengeukiwa mpaka saiv I can smell a danger from far away so the destiny is mine either nitoke nduki au nifanye massive attack ila iliufikie level hiz lazima upitie magumu mengine mengi sisiyoelezeka ndo unakua legend

DU KAZ IPO ASANTE NDUGU
 
Habari wandugu,

Leo ni siku iko tofauti si kidogo, imetokea nikiwa sitarajii rafiki wa mpenzi wangu kaniletea bahasha najuwa ni zawadi kumbe ni line za simu na kaujumbe kakuachwa kenye maneno mafupi just simply.

NIMECHOKA NA MAHUSIANO NIMEAMUA KUWA SINGLE

Madada wa Arusha mbona changamoto hivi? Week days unamfrastrate mwenzio kiasi hiki yaani nahisi kila hali. Sasa kwa notice ya haraka hivi real nashindwa hata nitamjibu nini, na kwa njia gani line zake kanipa zote amepania mpaka basi.

Hebu nichachueni akilu maana kama siamini vile. Kupenda sana mwisho wake mbaya asee. Nahisi pia bora angenipa habari hizi weekend week days naona kama adhabu flani sasa nitajibanza wapi nilie wakati kazi ni nyingi.

Mpaka jasho lanitoka wadada wa Arusha ni sumu.

HIVI HALI KAMA HII NAPAMBANAJE NAYO NSIDHURIKE
welcome back kwenye chama cha walio single
 
Wanaume wa mkoani,bora utafute pesa una baki kulia lia eti ameniacha ,pumbavu mkubwa wewe
 
Back
Top Bottom