Kanda maalum ya ushirikina

Mshana Jr....haya mambo huwa unayajuaje?

Je wewe Ni mchawi pia?

Mada zako kama usemavyo hazidhibitiki kisanyansi ila nashawishika kauamini namna unyopenyeza taarifa hizi inatoa ishara kuwa wewe ni sehemu ya ulimwengu huu usioonekana.

Nikushauri Kama sio agenda yako kuuimarisha ushirikina kwa kuufanya uzoeleke please achana na mada hizi...na badala yake tusaidie maarifa yatakayotuwezesha kuishi kwa mafanikio hapa duniani.

Uchawi umetajwa kwa miaka dahari ila Sina uhakika Kama unatusaidia kuboresha maisha yetu hapa duniani

Biblical point of view...uchawi ni kazi ya upande wa giza na kamwe haiwezi leta nuru maishani mwetu.

Ushaidi huu unaonekana bayana kwa kutazama jamii zinazoendekeza uchawi na ulozi nyingi kama sio zote zimegubikwa na unasikini, uduni wa afya na ustawi, visasi na mateso, vilio na kuzuia maendeleo ya watu.

Kwa makusudi au kwa kutokujua ni bayana kwamba uchawi ni dhana ya kulithiwa toka vizazi hadi vizazi ndio maana dhana hii aiachwi kutajwa japo hakuna historia inayobaisha faida ya tamaduni hizi katika ustawi wa maisha ya binadamu kwenye ulimwengu wa mwili.
 
Nikushauri Kama sio agenda yako kuuimarisha ushirikina kwa kuufanya uzoeleke please achana na mada hizi...na badala yake tusaidie maarifa yatakayotuwezesha kuishi kwa mafanikio hapa duniani. SINA MAARIFA mengine
 
Back
Top Bottom