Kamuche ndani ya jf (mdau wa uwazi na unyumbulifu)

Kamuche

JF-Expert Member
Aug 28, 2010
368
120
wadau wote wa jamii forum nawsabahi, assalam aleykum jamia. Kwa mara ya kwanzaa ndani ya jf, namiksi sana na jk. Tutakutana kundini katika kuendeleza mawazo mshazari na yenye kutandawaa katika lile litakalo ongelewa. "uzoefu ni mkusanyiko wa kukosea kwingi kunakoendana na kujirekebisha usikosee tena"
 
karibu sana ila hapo kwa blue sijakuelewa?!!
 
Back
Top Bottom