๐—ž๐—ฎ๐—บ๐—ฝ๐˜‚๐—ป๐—ถ ๐˜†๐—ฎ ๐—ซ๐—ถ๐—ฎ๐—ผ๐—บ๐—ถ ๐—ถ๐—บ๐—ฒ๐—น๐—ฒ๐˜๐—ฎ ๐— ๐—ถ๐—น๐—ฎ๐—ป๐—ด๐—ผ ๐˜†๐—ฎ ๐˜„๐—ถ๐—ณ๐—ถ

Teknolojia ni Yetu sote

JF-Expert Member
Apr 28, 2020
445
754
Xiaomi%20vitasa.jpg


Kampuni ya Xiaomi kwa kushirikiana na kampuni ya crowdfunding wameleta vitasa vipya vya kisasa kwa Ajili ya kuongeza usalama Kwenye nyumba au ofisini.

Inaitwa smart Door lock E20 Wifi version, inakupa nafasi ya kuweza kufungua au kufunga mlango wa Nyumbani au ofisini kwa mfumo tofauti tofauti ili kuongeza usalama zaidi.

View attachment 2789026

Mtumiaji atakua na uwezo wa kufungua mlango wake kwa namna kupitia mfumo wa fingerprint ambao ni sahihi kwa asilimia 99.2% inasoma ndani ya sekunde 0.5.

View attachment 2789027

Pia mtumiaji anaweza kutumia simu kufungua mlango , password , Bluetooth pamoja na ufunguo wenyewe kwa ujumla. Inakupa uwezo wa kujua nani kaingia ndani kupitia simu yako kwa kuangalia taarifa za muhusika aliye login.

Kikubwa zaidi inakupa uwezo wa kuzima taa za Nyumbani kwako ikitokea umeondoka bila kuzima na uwezo wa kujua joto la mtu kupitia ku scan kidole chako wakati unaingia ndani au kutoka.

Gharama yake ni milioni Kumi na Saba Laki Tisa na Elfu sitini.

View attachment 2789025
 
Ngoja niandike tarakimu ndio ntaelewa vizuri,Tsh.17,960,000 kwa kitasa kimoja...
 
Back
Top Bottom