Kampuni ya Facebook iache huu mchezo ni Uhuni wanaufanya

themagnificient

JF-Expert Member
Dec 13, 2016
988
3,318
Kwa miaka 6 kumekuwa na vitu vinaitwa Whatsapp Gb,Yo Whatsapp ,Gb instata na nyinginezo ambazo mtu anatumia na kuweza kupata access ya hiyo.mitandao sema anakuwa anapata vionjo vingi ambavyo havipo kwenye original vision ya whatsap iliyo Google play

Ila kipindi cha hivi Karibuni Whatsap wamekuwa wakzipiga Life ban namba ambzo zimebainika zinatumia whatsapp gb na nyinginezo,wengi sana wameshafungiwa

Ila swali nalijiulizaga Je ni nani ambae anahusika kutengeneza hizi fake whatsapp ambazo zinaacses moja kwa moja na acconunts za Whatsapp, Kama ni Rahisi mtu kujitengenezea fake app ya whatsapp na anaweza kuacess moja kwa moja kwenye whatsapp basi Hata CRDB,NMB,MPESA,TIGOPESA APP wahuni wangezitengeneza alafu tungekuwa tunaweza kuaccess kwenye account zetu lakini ni kitu ambacho ni impossible

Sasa nachokiona mm inawezekana whatsapp wanajua huu mchezo or ni wenyewe wanahusika
 
Je ni nani ambae anahusika
Yousef Al-Basha wa India

kutengeneza hizi fake whatsapp
hawatengenezi whatsapp, jamaa anachofanya anaichukua ile whatsapp original, kisha anaivunja vunja kupata source code ( decompilation ) kisha anaongeza zile features janja, kisha anai re-compile na kutengeneza APK, tayari kwa matumizi

kumbuka yeye ameongeza features tu, servers zinabaki kua zilezile za kampuni ya Meta, accounts zote zinakua linked na servers, mawasiliano toka mtu-mtu (au ya group) yanakua bridged/brokered na servers
 
Asante... Hivi yeye mtengenezaji anapata faida gani
 
Yousef Al-Basha wa India

hawatengenezi whatsapp, jamaa anachofanya anaichukua ile whatsapp original, kisha anaivunja vunja kupata source code ( decompilation ) kisha anaongeza zile features janja, kisha anai re-compile na kutengeneza APK, tayari kwa matumizi

kumbuka yeye ameongeza features tu, servers zinabaki kua zilezile za kampuni ya Meta, accounts zote zinakua linked na servers, mawasiliano toka mtu-mtu (au ya group) yanakua bridged/brokered na servers
Hata MPESA, NMB, CRDB n.k apps unaweza kuzifanyia hivi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa miaka 6 kumekuwa na vitu vinaitwa Whatsapp Gb,Yo Whatsapp ,Gb instata na nyinginezo ambazo mtu anatumia na kuweza kupata access ya hiyo.mitandao sema anakuwa anapata vionjo vingi ambavyo havipo kwenye original vision ya whatsap iliyo Google play

Ila kipindi cha hivi Karibuni Whatsap wamekuwa wakzipiga Life ban namba ambzo zimebainika zinatumia whatsapp gb na nyinginezo,wengi sana wameshafungiwa

Ila swali nalijiulizaga Je ni nani ambae anahusika kutengeneza hizi fake whatsapp ambazo zinaacses moja kwa moja na acconunts za Whatsapp, Kama ni Rahisi mtu kujitengenezea fake app ya whatsapp na anaweza kuacess moja kwa moja kwenye whatsapp basi Hata CRDB,NMB,MPESA,TIGOPESA APP wahuni wangezitengeneza alafu tungekuwa tunaweza kuaccess kwenye account zetu lakini ni kitu ambacho ni impossible

Sasa nachokiona mm inawezekana whatsapp wanajua huu mchezo or ni wenyewe wanahusika
huwq napigwa ban ya saa 1 lila mara afu naachiwa, ila sasaizi wananipiga ban ya dk 10 kila mara
 
Hata MPESA, NMB, CRDB n.k apps unaweza kuzifanyia hivi?

Sent using Jamii Forums mobile app
naamini hizi app zimeundwa na devs nguli kabisa, japo kila pwagu ana pwaguzi wake
hata kama ukizitawanyisha, hakuna kitu humo, maana kila kitu kipo kwenye server/database (passwords, etc)

ndiyo maana server zikizimwa, hiyo app haina kazi
 
Back
Top Bottom