luginyo
JF-Expert Member
- May 26, 2013
- 1,385
- 632
Unapokua na watato wako wawili wa kuzaa mmoja unampa chakula mwingine unamnyima nini unategemea kitokee. Mimi naona moja anayenyimwa chakula lazima afe na atakufa kwa kumwachia laana unayempa chakula na hiyo laana lazima iangamize kizazi chake chotesawa tu maana mkubwa hakosei, ila na sisi waturuhusu tufanye ya UKUTA
Haki huinua Taifa......
Rais John Pombe Magufuli ameendelea kupongezwa na wananchi pamoja na Taasisi za kiraia mbalimbali kutokana na misimamo yake na kazi kubwa anayoifanya ya kupigania rasilimali za nchi, kwa masilahi ya wanyonge na masikini.
Pongezi hizo zimetolewa kwa nyakati tofauti leo, Julai 17, 2017 jijini Dar es Salaam na Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini Masjid Ridhwaa, Alhaj Suleiman Seif Nassor na aliyekuwa mgombea wa CCM wa Ubunge Jimbo la Sengerema kupitia kura ya maoni, Laurence Mabawa.
Wakati akizungumza na wanahabari, Alhaj Nassor amesema bodi hiyo imemamua kumpongea Dkt. Magufuli kutokana na kazi nzuri anayofanya tangu alipoingia madarakani.
Kwa upande wake Mabawa, amesema licha ya kumpongeza Rais Magufuli, ameandaa kampeni kabambe inayojulikana kama ‘Magufuli Baki’ inayotarajiwa kufanyika hivi karibuni kwenye mikoa yote nchini, ambapo kupitia mikutano wananchi wenye nia njema watamuomba rais abaki katika msimamo wake wa kuwatetea wanyonge na masikini.
“Kampeni ya Magufuli Baki itahusisha mikoa yote ya Tanzania kwa kuwafikia wananchi wakiwemo wanafunzi wa sekondari kwa kufanya mikutano yenye nia njma ya kumwomba Rais abaki kwenye msimamo wake, kampeni hii itawapa fursa wananchi kutoa maoni yao kuhusu utendaji kazi wake iwe kwa kupongeza au kukosoa,” amesema.
Katika hatua nyingine, Mabawa amelaani baadhi ya wanasiasa na wananchi wanaotoa lugha za maudhi na kejeli kwa watu wanaojitokeza hadharani kumpongeza Rais Magufuli na serikali yake.
“Niombe TCRA kuwachukulia hatua kali wote wanaotumia mitandao ya kijamii vibaya kwa kuwatolea maneno ya kejeli na kuudhi watu wanaojitokeza kumpongeza Rais,” amesema.
Intarahamwe wamevamia nchi.
Tupo na tutayaona
Tisialaei On WorkHiyo kampeni ya "Magu baki"" baadae itaguezwa baki mad......ni.
Alafu sio ndio utawala huu ulisema siasa mpaka 2020?
Mwanza kuna wana siasa wana Njaa kweli. We all know about thatNchi ambayo elimu ni anasa, demokrasia ni ndoto na maendeleo ni hadithi.
Sent from my Kimulimuli
Kote kuna wanasiasa wana njaa, hakuna mtu asiye na njaa.Mwanza kuna wana siasa wana Njaa kweli. We all know about that
Uzuri si muhubiri labda wewe hapoKote kuna wanasiasa wana njaa, hakuna mtu asiye na njaa.
Ukianza kuhusisha habari za siasa na mikoa unaleta ukabila.Ukabila ni sumu.
Mwanza kuna wanasiasa wa kila aina na kila mrengo, kuzungumzia wa aina moja kama hao tu ndio wapo huko ni kutowatendea haki wengine.
That is neither here, nor there in context.Uzuri si muhubiri labda wewe hapo
Kwanini iwe Mwanza na sio Dar? Ndio ukabila?
I see....sikufahamu hilo. Ndio leo nalisikia kwako.That is neither here, nor there in context.
Ukishapost JF tayari ni muhubiri.
Magufuli mpaka afie madarakani maana hakuna mtanzania mwingine wa kuvaa viatu vyakeHii nchi tuna hasara kubwa sana!
Enzi za kuvaliana Viatu zimekwisha,amalize muda wake akachukue mafao yake.yye na Viatu vyake wakapumzike kwa aman,huu ni utaratibu tulio jiwekea wenyewe nivyema kulinda heshma ya nchi kulko matakwa ya MTU mmoja.Magufuli mpaka afie madarakani maana hakuna mtanzania mwingine wa kuvaa viatu vyake
Siamini katika bahati, hata movements za subatomic particles na flips of coins zinakwenda kwa hesabu za probability.I see....sikufahamu hilo. Ndio leo nalisikia kwako.
Turudi kwenye hoja...unafikiri ni kwa bahati mbaya hiyo move?
Sent from my SM-J700F using JamiiForums mobile app