Kambi ya jeshi inaungua songea

POMPO

JF-Expert Member
Mar 12, 2011
6,690
2,400
Kuna kambi ya jeshi Chandamali inateketea kwa moto Songea...
moto ueanza kuwaka mida ya saa tano.. watu mlioko huko tujuzeni..
hali siyo swari mwenye data
 
duh halafu karibu na ma home pale MABATINI mabomu yasije lipua house ya mshua duh!
 
these things are happening too frequent to be just accidents

Something is cooking
 
acha yalipuke tuu ndio watajufunza kuchukua tahadhari, hata pale DOM jirani na wanapofanyia semina elekezi naskia kuna kambi sijui yapo nayo yawafurumushe mle ndani maana wanatumbua kodi zetu tuu...!
 
chadema wameshatua Songea, watasema chadema wanahusika au ni mbinu za kuzuia maandamano na mikutano ya cdm Songea.
 
ni kweli!! ni moto wa 'kawaida' na ushadhibitiwa na vikosi vya zimamoto. ni kambi ya jeshi inayoitwa Chandamali ipo along Tunduru-Songea Road. Hii ni kwa mujibu wa vyanzo vyangu vilivyopo huko songea.
 
mmezidi kuwabania mianya ya kupiga wanamagamba bajeti kila sehemu mnawakwamisha.sasa watachoma majengo na kuyajenga!
 
Halafu mtoto wa Mwinyi ambaye ni Waziri wa Ulinzi wa Tanzania, eti aje agombee URAIS mwaka 2015.
 
Ni kambi ya mishale iliyotumika katika vita vya Majimaji....hailipuki

Mkuu mbona historia inapiga chenga hivyo hata kulidharau Jeshi letu la Wananchi kwa kuiita kambi ya Chandamali ni ya mishale ya vita vya Majimaji? Hebu tuombe radhi watanzania.

Mishale iliyotumika vita vya Majimaji watu wachache sana wanayo na mingine ipo pale kwenye Makumbusho ya Mashujaa wa Majimaji Songea.

Mlima Chandamali ulitumika kama sehemu ya kwenda kufanyia matambiko. Chifu Songea, Chifu Luambano na baadhi ya majumbe walikwenda sana huko kutambika before, during and after Majimaji war. (inatajwa hata Marehemu L Gama alikuwa akienda.)

Kambi hiyo ya jeshi ilianzishwa baada ya Uhuru. Inasilaha nzito za kivita. LENAMO wanaijua habari ya kambi hiyo.
 
Back
Top Bottom