TUJITEGEMEE
JF-Expert Member
- Nov 6, 2010
- 23,914
- 23,080
Unahitaji roho ngumu na ya kikatili kwa watanzania kumuamini Zitto tena kupewa nafasi hiyo ya U/kiti wa PAC...!
Hiyo kamati sio ya kufichua majizi!Zitto yuko vizuri katika kuuma na kupuliza ili kujihakikishia kura za wana CCM.sio mpinzani wa kuaminika ndio maana ufisadi mkubwa kama huo wa bandari hakujua wala hakuaminiwa na waliochunguza kumpa taarifa nyeti kama zile kwakuwa haaminiki.KUBENEA sijui CV yake lakini anauwezo kuanika uozo kama ulivyo bila kuficha.
HUJUI UNACHOKISEMA SOMA KAZI ZA CAG NDIO UTAJUA KWANINI PAC KAZI YAKE NI KUMULIKA UOZO SERIKALINI KWA KUTUMIA RIPOTI ZA CAG.PIA ISINGEKUWA NA MALENGO HAYO CHAMA TAWALA KINGEPEWA MAJUKUMU YA KAMATI HIYO KWA WINGI WA KURA ZAKE.Hiyo kamati sio ya kufichua majizi!
Kama mtu anafikiri anaafaa kwa sababu hizo atakuwa anakosea!
Mtu anapaswa kuisaidia serikali, kusaidia kamati, sio one man show! Kamati ni team yenye watu wengi ambao opinions zao, uwezo wao wa kujua mambo au kupata taarifa au kutoa taarifa huwa unamchango mkubwa katika kuboresha utendaji! Si sehemu ya kufanyia kampeni, kuropoka mambo yasiyo na uthibitisho! Ni sehemu ambapo wapinzani na chama tawala wanatumia mhimili wa bunge kuisimamia serikali!
Nadhani tukijadli umahiri wa watu twendeni beyond elimu na kupiga kelele za kisiasa! Tuangalie dhamira ya mtanzania anayeiona nchi yake ni zaidi ya chama chake, kabila lake au biashara na maslahi yake binafsi!
Mzalendo kwenye tafsiri halisi ya neno hilo ndiye anayetufaa zaidi!
Ana vielelezo, ndo maana hashitakiwiKubenea huyu huyu bingwa wa kutunga uongo?
Tumeongozwa na rais mwrnye masters na phd kibao container za kutisha zimepita bila kulipiwa kodi. Kubenea hata awe mmachinga inahusu nini??naomba kujua elimu ya kubenea kabla sijakomment
Tuwekee na cv zao.
Tuwekee na cv zao.
Hata kama zzk atakuwa na cv nzuri zaidi ya kubenea nataka kujua kama bandari nayo ni shirika la uma kma ni shirika la uma basi zzk hafai.Tuwekee na cv zao.
Fundi selemara ambaye serikali ilifungia gazeti lake alafu ikalifungulia na kutakiwa kulilipa mabilion ya sh. Hii nouma sana kubenea anaijambisha lumumbaTatizo lilopo kwenye jamii yetu ni juu ya watu wengi wasio na maana kumiliki sim ambazo wanaweza kuweka vocha na kukoment ujinga kama huu, hivi kwa akili timamu ulizobarikiwa na Mungu unaweza fananisha Zitto na Kubenea nyinyi Bavicha ni wehu sana Kubenea namjua vyema alimaliza darasa la saba akaja huku Zanzibar kwa kaka yake yule aliyekua na shutma za kuiba hela KMKM akapelekwa kujifundisha useremala kwa ukwe wake kaka yake eneo la jang"ombe zanzibar baada ya hapo akarudi Dar es salaam hakuweha kusoma hata huo uandishi wa habari mnaosema anao mwenye ushaidi alete hapa acheni porojo za kijinga. Kubenea anatembea na bahati yake ila kwa hali ilivo mwisho wake unakaribia.
Sorry Kubenea ila kwa hali ilivo ilibidi niseme ukweli.
Ana vielelezo, ndo maana hashitakiwi
KamshtakiKuihusu Richmond? Vile alivyodai ana ushahidi juu ya ufisadi wa Lowassa!?
Kamshtaki
Hahaha hivi Kubenea kuna watu kawashikia akili kiasi hiki daah!!usimlinganishe kubenea na vitu vya kipuuzi