Kamati Ya PAC: Nani zaidi Kati ya Zitto na Kubenea?

Unahitaji roho ngumu na ya kikatili kwa watanzania kumuamini Zitto tena kupewa nafasi hiyo ya U/kiti wa PAC...!
 
Zitto kiukweli anajua sana kucheza na akili za wanaomuamini na anabadilika kutokana na nyakati. Hana tofauti na wasanii wa muziki hata kama haujui mziki anachofanya ni kucheza tu na akili za washabiki wanataka nini.
 
Zitto yuko vizuri katika kuuma na kupuliza ili kujihakikishia kura za wana CCM.sio mpinzani wa kuaminika ndio maana ufisadi mkubwa kama huo wa bandari hakujua wala hakuaminiwa na waliochunguza kumpa taarifa nyeti kama zile kwakuwa haaminiki.KUBENEA sijui CV yake lakini anauwezo kuanika uozo kama ulivyo bila kuficha.
Hiyo kamati sio ya kufichua majizi!
Kama mtu anafikiri anaafaa kwa sababu hizo atakuwa anakosea!
Mtu anapaswa kuisaidia serikali, kusaidia kamati, sio one man show! Kamati ni team yenye watu wengi ambao opinions zao, uwezo wao wa kujua mambo au kupata taarifa au kutoa taarifa huwa unamchango mkubwa katika kuboresha utendaji! Si sehemu ya kufanyia kampeni, kuropoka mambo yasiyo na uthibitisho! Ni sehemu ambapo wapinzani na chama tawala wanatumia mhimili wa bunge kuisimamia serikali!
Nadhani tukijadli umahiri wa watu twendeni beyond elimu na kupiga kelele za kisiasa! Tuangalie dhamira ya mtanzania anayeiona nchi yake ni zaidi ya chama chake, kabila lake au biashara na maslahi yake binafsi!
Mzalendo kwenye tafsiri halisi ya neno hilo ndiye anayetufaa zaidi!
 
HUJUI UNACHOKISEMA SOMA KAZI ZA CAG NDIO UTAJUA KWANINI PAC KAZI YAKE NI KUMULIKA UOZO SERIKALINI KWA KUTUMIA RIPOTI ZA CAG.PIA ISINGEKUWA NA MALENGO HAYO CHAMA TAWALA KINGEPEWA MAJUKUMU YA KAMATI HIYO KWA WINGI WA KURA ZAKE.
 
Hivi mbona mwampaisha sana kubenea kwa lipi katufanyia nini sisi wana ubungo acheni ujinga mwataka yale yale ya lowasa kaja leo kapewa udereva hajui hata gia iko wapi mliferi mi nikajua ni fundishooo kumbe bado stukeni aiseee tzd bado sana upinzani aisee
 
Tatizo lilopo kwenye jamii yetu ni juu ya watu wengi wasio na maana kumiliki sim ambazo wanaweza kuweka vocha na kukoment ujinga kama huu, hivi kwa akili timamu ulizobarikiwa na Mungu unaweza fananisha Zitto na Kubenea nyinyi Bavicha ni wehu sana Kubenea namjua vyema alimaliza darasa la saba akaja huku Zanzibar kwa kaka yake yule aliyekua na shutma za kuiba hela KMKM akapelekwa kujifundisha useremala kwa ukwe wake kaka yake eneo la jang"ombe zanzibar baada ya hapo akarudi Dar es salaam hakuweha kusoma hata huo uandishi wa habari mnaosema anao mwenye ushaidi alete hapa acheni porojo za kijinga. Kubenea anatembea na bahati yake ila kwa hali ilivo mwisho wake unakaribia.
Sorry Kubenea ila kwa hali ilivo ilibidi niseme ukweli.
Fundi selemara ambaye serikali ilifungia gazeti lake alafu ikalifungulia na kutakiwa kulilipa mabilion ya sh. Hii nouma sana kubenea anaijambisha lumumba
 
Huyu kubenea ndio miongoni mwa wale vijana walionusurika kifo kule mgodini baada ya kukaa siku 40 bila maji wala kula?
 
Zito ni alipokuwa PAC alikuwa mpiga deal na masaliti mkuu! ilikuwa sehemu yake ya kupata fedha na hili halina ubishi hata kidogo! Kebenea ni jembe jamani hana mfano hata kidogo!
 
Back
Top Bottom