Kamati ya Bunge yaitaka Serikali kutoa vibali vya uingizaji sukari kutoka nje ya nchi

RUCCI

JF-Expert Member
Oct 6, 2011
1,701
1,714
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Kilimo, Mifugo na Maji, imemwomba Rais John Magufuli kuangalia tatizo la uhaba wa sukari nchini na kuona jinsi ya kufanya kuruhusu kutoa vibali kwa wafanyabiashara kuagiza sukari nje ya nchi.

Akizungumza na waandishi wa habari Dar es Salaam jana, Mwenyekiti wa Kamati hiyo, Dk Mary Nagu alisema uhaba wa sukari nchini kwa sasa ni kati ya tani 80,000 hadi 100,000 na kwamba kama hatua za haraka hazitachukuliwa, bidhaa hiyo itahadimika na wananchi watalanguliwa.

“Tumekutana na Bodi ya Sukari, na tumezungumza nao, wametuambia kuna upungufu wa sukari ya matumizi ya nyumbani kati ya tani 80,000 hadi 100,000, tunamuomba Rais na serikali yake kuangalia jambo hili na kuona umuhimu ya kuruhusu kiasi hicho cha sukari kiingizwe,” alisema Dk Nagu.

Alisema kabla ya nchi kubinafsisha viwanda vya sukari ilikuwa inazalishwa kwa mwaka tani 100,000 na baada ya kubinafsishwa viwanda vya ndani vinazalisha tani 320,000 ilhali mahitaji ni tani 420,000.

Hivi karibuni, Rais Magufuli alitangaza kupiga marufuku uingizaji wa sukari kutoka mataifa ya kigeni ili kuvilinda viwanda vya sukari nchini humo ambavyo vimeathiriwa na uingizaji wa sukari ya bei rahisi kutoka nje.

‘’Tuna viwanda nchini ambavyo hununua miwa kutoka kwa wakulima wadogo wadogo. Viwanda hivi huzalisha sukari, ajira na ni chanzo cha mapato ya serikali. Ijapokuwa tuna hifadhi ya kutosha ya sukari kuna watu serikalini wanaotoa vibali vya kuingiza sukari kutoka nje,” alisema Dk Magufuli.

Aidha, Bodi ya Sukari Tanzania ilitangaza kushusha bei ya sukari kwa kutangaza bei elekezi inayoonesha bidhaa hiyo kuanzia sasa inauzwa Sh 1,800 kwa kilo nchini kote, huku ikisema haitasita kuchukua hatua stahiki za kisheria kwa wale watakaobainika kupandisha bei au kuhodhi bidhaa hiyo.

Naye Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwezekezaji, Charles Mwijage alisisitiza kuwa hakuna uhaba wa sukari nchini na kuwataka wafanyabiashara walio na leseni za kuingiza na kuuza bidhaa hiyo, kutoificha.

Hata hivyo, Dk Nagu jana alidai upungufu wa sukari nchini upo na kwamba wapo wafanyabiashara wanaotumia mwanya huo vibaya kwa kuagiza sukari nyingi kuliko ile iliyokubaliwa kwa lengo la wao kunufaika, na kuiomba serikali kuongeza juhudi za kuziba mianya ya uingizaji wa sukari bila vibali.

Alisema ni vyema serikali ikaona haja ya kuondoa tatizo la uhaba wa sukari hivi sasa kwa sababu kama uhaba huo utaendelea, wananchi ndio wataathirika zaidi huku wafanyabiashara akitumia mwanya huo kuongeza bei ya bidhaa hiyo ila iwapo itaagizwa kwa wakati, si rahisi kwa wafanyabiashara hao kupandisha bei.

Mkurugenzi Mkuu wa Kiwanda cha Sukari cha Mtibwa cha mkoani Morogoro, Hamad Yahaya anawasihi wafanyabiashara wasio waaminifu, kuacha kutoa taarifa za uongo kuhusu kiasi cha sukari waliyonayo ili ionekane kuna upungufu na wao wapandishe bei.
 
Mbona sukari ipo nyingi tuu mitaani na madukani huyu Dk Mary nagu nahisi ana maslahi binafsi aisee namini mheshimiwa raisi hatoingia mkenge na kuruhusu vibali hivyo.
 
Ni kweli mkuu sukari ipo mitaani, ila bei tu ndiyo haijashuka kufikia sh 1,800/=.
 
Mbona sukari ipo nyingi tuu mitaani na madukani huyu Dk Mary nagu nahisi ana maslahi binafsi aisee namini mheshimiwa raisi hatoingia mkenge na kuruhusu vibali hivyo.
wakati wa sokoine tulikuwa tunapewa kilo moja ya sukari kwa kaya kwa wiki na hatukuagiza nje, wacha tu tujifunge mkanda, mbona hasemi juu ya nyama tunanunua kilo 8,000/= na maisha yako poa, asubiri kilo ifike elfu kumi ndio aje na hiyo proposal yake.
 
Proporsal ya kuagiza sukari nje ni ya kijinga kabisa na nitashangaa Raisi akiingia mkenge kwenye hili. Nilitegemea kuona mapendekezo ya kuongeza uzalishaji na kuwezesha wakulima kuongeza idadi ya mashamba n.k. ila sio hili la kuagiza nje linaua viwanda na kudidimiza uchumi wa taifa letu ilhali watu wachache wanaendelea kuneemeka. Tujifunge mkanda
 
wakati wa sokoine tulikuwa tunapewa kilo moja ya sukari kwa kaya kwa wiki na hatukuagiza nje, wacha tu tujifunge mkanda, mbona hasemi juu ya nyama tunanunua kilo 8,000/= na maisha yako poa, asubiri kilo ifike elfu kumi ndio aje na hiyo proposal yake.
nyama anauza lowasa ndio maana wamenyamaza
 
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Kilimo, Mifugo na Maji, imemwomba Rais John Magufuli kuangalia tatizo la uhaba wa sukari nchini na kuona jinsi ya kufanya kuruhusu kutoa vibali kwa wafanyabiashara kuagiza sukari nje ya nchi.

Akizungumza na waandishi wa habari Dar es Salaam jana, Mwenyekiti wa Kamati hiyo, Dk Mary Nagu alisema uhaba wa sukari nchini kwa sasa ni kati ya tani 80,000 hadi 100,000 na kwamba kama hatua za haraka hazitachukuliwa, bidhaa hiyo itahadimika na wananchi watalanguliwa.

“Tumekutana na Bodi ya Sukari, na tumezungumza nao, wametuambia kuna upungufu wa sukari ya matumizi ya nyumbani kati ya tani 80,000 hadi 100,000, tunamuomba Rais na serikali yake kuangalia jambo hili na kuona umuhimu ya kuruhusu kiasi hicho cha sukari kiingizwe,” alisema Dk Nagu.

Alisema kabla ya nchi kubinafsisha viwanda vya sukari ilikuwa inazalishwa kwa mwaka tani 100,000 na baada ya kubinafsishwa viwanda vya ndani vinazalisha tani 320,000 ilhali mahitaji ni tani 420,000.

Hivi karibuni, Rais Magufuli alitangaza kupiga marufuku uingizaji wa sukari kutoka mataifa ya kigeni ili kuvilinda viwanda vya sukari nchini humo ambavyo vimeathiriwa na uingizaji wa sukari ya bei rahisi kutoka nje.

‘’Tuna viwanda nchini ambavyo hununua miwa kutoka kwa wakulima wadogo wadogo. Viwanda hivi huzalisha sukari, ajira na ni chanzo cha mapato ya serikali. Ijapokuwa tuna hifadhi ya kutosha ya sukari kuna watu serikalini wanaotoa vibali vya kuingiza sukari kutoka nje,” alisema Dk Magufuli.

Aidha, Bodi ya Sukari Tanzania ilitangaza kushusha bei ya sukari kwa kutangaza bei elekezi inayoonesha bidhaa hiyo kuanzia sasa inauzwa Sh 1,800 kwa kilo nchini kote, huku ikisema haitasita kuchukua hatua stahiki za kisheria kwa wale watakaobainika kupandisha bei au kuhodhi bidhaa hiyo.

Naye Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwezekezaji, Charles Mwijage alisisitiza kuwa hakuna uhaba wa sukari nchini na kuwataka wafanyabiashara walio na leseni za kuingiza na kuuza bidhaa hiyo, kutoificha.

Hata hivyo, Dk Nagu jana alidai upungufu wa sukari nchini upo na kwamba wapo wafanyabiashara wanaotumia mwanya huo vibaya kwa kuagiza sukari nyingi kuliko ile iliyokubaliwa kwa lengo la wao kunufaika, na kuiomba serikali kuongeza juhudi za kuziba mianya ya uingizaji wa sukari bila vibali.

Alisema ni vyema serikali ikaona haja ya kuondoa tatizo la uhaba wa sukari hivi sasa kwa sababu kama uhaba huo utaendelea, wananchi ndio wataathirika zaidi huku wafanyabiashara akitumia mwanya huo kuongeza bei ya bidhaa hiyo ila iwapo itaagizwa kwa wakati, si rahisi kwa wafanyabiashara hao kupandisha bei.

Mkurugenzi Mkuu wa Kiwanda cha Sukari cha Mtibwa cha mkoani Morogoro, Hamad Yahaya anawasihi wafanyabiashara wasio waaminifu, kuacha kutoa taarifa za uongo kuhusu kiasi cha sukari waliyonayo ili ionekane kuna upungufu na wao wapandishe bei.
ndio maana wafanyibiashara wanaingia bungeni ili kulinda na kuendeleza maslahi yao. na huyu mary nagu ni kibaraka wa itikadi ya uchumi huria/holela. walirukia kama kasuku dhana ya free market na kupuuza kabisa udhibiti katika uchumi. karibu wabinafsishe hata jwtz ili mradi wanajaza matumbo yao kwa kuuza kampuni/taasisi za umma. polisi ilishabinafsishwa kwa mtindo fulani. ukienda polisi kushtaki wao wanakuona kama mteja. lazima uamuzi wa kupiga marufuku uagizaji sukari uheshimiwe ili kuimarisha viwanda vya ndani na wakulima wa miwa. tangu kutoka agizo hilo hata miezi miwili haijapita tayari waagizaji wanaanza kuloby kwenye kamati za bunge kupitia watu kama mary nagu. wako wafanyabiashara kazi yao ni kuagiza nje wanaona kuliko uchumi wa nchi kukua bora kufanya hujuma ili waweze kuendelea na biashara yao ya kuagiza nje..
 
ndio maana wafanyibiashara wanaingia bungeni ili kulinda na kuendeleza maslahi yao. na huyu mary nagu ni kibaraka wa itikadi ya uchumi huria/holela. walirukia kama kasuku dhana ya free market na kupuuza kabisa udhibiti katika uchumi. karibu wabinafsishe hata jwtz ili mrada wanajaza matumbo yao kwa kuuza kampuni/taasisi za umma. polisi ilishabinafsishwa kwa mtindo fulani. ukienda polisi kushtaki wao wanakuona kama mteja. lazima uamuzi wa kupiga marufuku uagizaji sukari uheshimiwe ili kuimarisha viwanda vya ndani na wakulima wa miwa. tangu kutoka agizo hilo hata miezi miwili haijapita tayari waagizaji wanaanza kuloby kwenye kamati za bunge kupitia watu kama mary nagu. wako wafanyabiashara kazi yao ni kuagiza nje wanaona kuliko uchumi wa nchi kukua bora kufanya hujuma ili waweze kuendelea na biashara yao ya kuagiza nje..
Hahaha...biashara na dili kila kona
 
Rushwa Rushwa tu,hakuna upungufu wa sukari nchini ,viwanda vyote vina stock kubwa ya sukari
 
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Kilimo, Mifugo na Maji, imemwomba Rais John Magufuli kuangalia tatizo la uhaba wa sukari nchini na kuona jinsi ya kufanya kuruhusu kutoa vibali kwa wafanyabiashara kuagiza sukari nje ya nchi.

Akizungumza na waandishi wa habari Dar es Salaam jana, Mwenyekiti wa Kamati hiyo, Dk Mary Nagu alisema uhaba wa sukari nchini kwa sasa ni kati ya tani 80,000 hadi 100,000 na kwamba kama hatua za haraka hazitachukuliwa, bidhaa hiyo itahadimika na wananchi watalanguliwa.

“Tumekutana na Bodi ya Sukari, na tumezungumza nao, wametuambia kuna upungufu wa sukari ya matumizi ya nyumbani kati ya tani 80,000 hadi 100,000, tunamuomba Rais na serikali yake kuangalia jambo hili na kuona umuhimu ya kuruhusu kiasi hicho cha sukari kiingizwe,” alisema Dk Nagu.

Alisema kabla ya nchi kubinafsisha viwanda vya sukari ilikuwa inazalishwa kwa mwaka tani 100,000 na baada ya kubinafsishwa viwanda vya ndani vinazalisha tani 320,000 ilhali mahitaji ni tani 420,000.

Hivi karibuni, Rais Magufuli alitangaza kupiga marufuku uingizaji wa sukari kutoka mataifa ya kigeni ili kuvilinda viwanda vya sukari nchini humo ambavyo vimeathiriwa na uingizaji wa sukari ya bei rahisi kutoka nje.

‘’Tuna viwanda nchini ambavyo hununua miwa kutoka kwa wakulima wadogo wadogo. Viwanda hivi huzalisha sukari, ajira na ni chanzo cha mapato ya serikali. Ijapokuwa tuna hifadhi ya kutosha ya sukari kuna watu serikalini wanaotoa vibali vya kuingiza sukari kutoka nje,” alisema Dk Magufuli.

Aidha, Bodi ya Sukari Tanzania ilitangaza kushusha bei ya sukari kwa kutangaza bei elekezi inayoonesha bidhaa hiyo kuanzia sasa inauzwa Sh 1,800 kwa kilo nchini kote, huku ikisema haitasita kuchukua hatua stahiki za kisheria kwa wale watakaobainika kupandisha bei au kuhodhi bidhaa hiyo.

Naye Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwezekezaji, Charles Mwijage alisisitiza kuwa hakuna uhaba wa sukari nchini na kuwataka wafanyabiashara walio na leseni za kuingiza na kuuza bidhaa hiyo, kutoificha.

Hata hivyo, Dk Nagu jana alidai upungufu wa sukari nchini upo na kwamba wapo wafanyabiashara wanaotumia mwanya huo vibaya kwa kuagiza sukari nyingi kuliko ile iliyokubaliwa kwa lengo la wao kunufaika, na kuiomba serikali kuongeza juhudi za kuziba mianya ya uingizaji wa sukari bila vibali.

Alisema ni vyema serikali ikaona haja ya kuondoa tatizo la uhaba wa sukari hivi sasa kwa sababu kama uhaba huo utaendelea, wananchi ndio wataathirika zaidi huku wafanyabiashara akitumia mwanya huo kuongeza bei ya bidhaa hiyo ila iwapo itaagizwa kwa wakati, si rahisi kwa wafanyabiashara hao kupandisha bei.

Mkurugenzi Mkuu wa Kiwanda cha Sukari cha Mtibwa cha mkoani Morogoro, Hamad Yahaya anawasihi wafanyabiashara wasio waaminifu, kuacha kutoa taarifa za uongo kuhusu kiasi cha sukari waliyonayo ili ionekane kuna upungufu na wao wapandishe bei.
tutafika tu mbona hapa bado sana ..hapa kazi tu jaman achen kulialia
 
wakati wa sokoine tulikuwa tunapewa kilo moja ya sukari kwa kaya kwa wiki na hatukuagiza nje, wacha tu tujifunge mkanda, mbona hasemi juu ya nyama tunanunua kilo 8,000/= na maisha yako poa, asubiri kilo ifike elfu kumi ndio aje na hiyo proposal yake.
watu wengine huwa siwaelewagi? sijui huko kwenye vichwa vyenu mmejaza matope badala ya ubongo!
 
Nilijua itakuwa hivyo kwani hawa wafanya biashara walishatoa ten percent yao kuwazuia sio rahisi
 
Hizi kamati za bunge ni majipu tu bora serikali ingetumia njia zingine kiushauri kiliko haya makamati maana yamekua majipu yakikarimiwa kidogo yanatupotosha na hizi kamati zaidi ni kwa kunufaiasha uoande wa watu wenye pesa tu iliwezakana zifutwe
 
Mbona sukari ipo nyingi tuu mitaani na madukani huyu Dk Mary nagu nahisi ana maslahi binafsi aisee namini mheshimiwa raisi hatoingia mkenge na kuruhusu vibali hivyo.

Sukari iko nyingi sana nchini. Tatizo ni usambazaji .bodi ya sukari imeteua wasambazaji kila Mkoa nao ndiyo wanaohodhi sukari na wengine hawana uwezo wa kununua kiwango wanachopangiwa na viwanda. Mary Nagu aende viwandani siyo kutoa matamko kwenye vikao. Hiyo bodi ya sukari ituruhusu wauzaji wa jumla kutoka kila wilaya twende viwandani moja kwa moja kununua sukari. Mabohari ya viwanda yakiwa matupu na sukari ikiisha madukani ndipo tutaona upungufu wa kweli.
 
Jukumu hilo la kuagiza sukari wapewe viwanda vyenye kuzalisha sukari ili iwe rahisi kudhibiti ukwepaji kodi na oversupply
Mkuu na mimi nilikuwa na wazo kama lako. Kama wafanyabiashara wanaleta mauzauza wanapopewa vibali kwanini kusiwepo na utaratibu wa kumpa 1. Mtu mmoja mwenye uwezo ambae ni rahisi kumfuatilia. Au 2. Viwanda vinavyozalisha sukari. Au 3. Bodi ya sukari ifanye hiyo shughuli.
 
Back
Top Bottom