Watajiju walahiHatari sana hawa watu
Serengeti Chadema ilifutika!Mikakati ya kurudi ktk chaguzi ndogo za ubunge huko serengeti
Inaonekana umepanga maeneo jirani na ofisi za Chadema mkuu huna shughuli zaidi ya siasa?Asiye na mwana aeleke jiwe. Je, kwa mara ya kwanza CHADEMA itakubali kuwafukuza Wabunge wake? Je, wako tayari kupoteza ruzuku ya kila mwezi kutoka serikalini, mbali na milioni moja (500,000 kila Mbunge) wanayokatwa na Chama kila mwezi?
View attachment 899457View attachment 899456
Asiye na mwana aeleke jiwe. Je, kwa mara ya kwanza CHADEMA itakubali kuwafukuza Wabunge wake? Je, wako tayari kupoteza ruzuku ya kila mwezi kutoka serikalini, mbali na milioni moja (500,000 kila Mbunge) wanayokatwa na Chama kila mwezi?
View attachment 899457View attachment 899456
Wafukuzwe kabisa..Hao hata mimi nimebadili msimamo ni bora wafukuzwe tu.
Acha porojo. Jibu hoja. Chama kinafuata mtu badala mtu kufuata chama.Mkuu hukò ccm utakuwa unalipwa pesa nyíngi sana nahisi kuzidi hata mwenyekiti. Na kama hulipwi pesa nyingi basi wewe utakuwa ni jìnga/boya na ni msukule. Unajitahidi sana kujitoa akili
ETI Chama cha Demokrasia ana Maendeleo CHADEMA. Inashangaza sanaAsiye na mwana aeleke jiwe. Je, kwa mara ya kwanza CHADEMA itakubali kuwafukuza Wabunge wake? Je, wako tayari kupoteza ruzuku ya kila mwezi kutoka serikalini, mbali na milioni moja (500,000 kila Mbunge) wanayokatwa na Chama kila mwezi?
View attachment 899457View attachment 899456
Tangu lini lumumba mkawa na hoja?Acha porojo. Jibu hoja. Chama kinafuata mtu badala mtu kufuata chama.
Kwa mara ya kwanza nimeona heading kubwa kuliko jina la gazeti
Wakuu kumbukeni habari hii imeandikwa na Jamvi la HabariWafukuzwe kabisa..
Hao sio wa kwanza kufukuzwa ndani ya CDM.
Kafanywaje mkuu?Ndiyo maana mwenye kigazeti kafanyiziwa kitu mbaya na mtoto wa Mwandiga.
Asiye na mwana aeleke jiwe. Je, kwa mara ya kwanza CHADEMA itakubali kuwafukuza Wabunge wake? Je, wako tayari kupoteza ruzuku ya kila mwezi kutoka serikalini, mbali na milioni moja (500,000 kila Mbunge) wanayokatwa na Chama kila mwezi?
View attachment 899457View attachment 899456
Ndoto aina hiyo hairuhusiwi huko.Kama watawachinja tutaandamana..haiwezekani watuingize kwenye uchaguzi tena