Kamati Kuu ya CHADEMA kukutana Kikao cha Dharura. Ni Kikao cha kuwachinjilia mbali Kubenea na Komu

2B2A7E08-FF55-402D-B9C1-C15BE945B673.gif
 
chadema mkituingiza kwenye chaguzi zitakazogharimu 3bn kwa kushindwa kutatua migogoro yenu ya ndani hatutawaelewa.
fanyieni kazi hiyo clip na mjisahihishe bima kutuadhibu sisi walipa kodi
 
Mkuu hukò ccm utakuwa unalipwa pesa nyíngi sana nahisi kuzidi hata mwenyekiti. Na kama hulipwi pesa nyingi basi wewe utakuwa ni jìnga/boya na ni msukule. Unajitahidi sana kujitoa akili
Acha porojo. Jibu hoja. Chama kinafuata mtu badala mtu kufuata chama.
 
Hao jamaa na wengine wachache wanaotuhumiwa kuhamia ccm na hawakanushi ni bora wafukuzwe katika chama kabisa ili wkatafute pengine pa kufanyia siasa.
 
Hao jamaa na wengine wachache wanaotuhumiwa kuhamia ccm na hawakanushi ni bora wafukuzwe katika chama kabisa ili wkatafute pengine pa kufanyia siasa.
 
Asiye na mwana aeleke jiwe. Je, kwa mara ya kwanza CHADEMA itakubali kuwafukuza Wabunge wake? Je, wako tayari kupoteza ruzuku ya kila mwezi kutoka serikalini, mbali na milioni moja (500,000 kila Mbunge) wanayokatwa na Chama kila mwezi?


View attachment 899457View attachment 899456

Hata kama Mbowe ni mzuri unafika wakati kama kiongozi ukubali baadhi ya vitu:

1. Labda viongozi wenzako wameshindwa kukuelewa kabisa na hivyo kufanya mambo kushindwa kusonga mbele- hivyo, ili kunusuru chama achie ngazi

2. Akubali tu ndani ya moyo wake kuwa chadema haina future kwa uongozi uliopo, yametokea mengi toka uchaguzi mkuu uliopita, tangu kujiunga Lowassa, kuondoka Dr Slaa, wabunge kujiuzulu, kukosekana integrity kwenye matumizi ya ruzuku n.k. Confidence haiwezi kurudi kwa regime iliopo, njia pekee ni uongozi mzima kuondoka na Chama kuitisha uchaguzi mkuu

3. Apparently, mzee Mtei anatakiwa akubali muda wa chama hiki kuongozwa kimapokeo " traditionally" umepita, hivyo anatakiwa ku- summon kijana wake amweleze ukweli. Mbowe tafakari
 
Back
Top Bottom