Kamati Kuu ya CCM chini ya Mwenyekiti Samia yaridhia Daniel Chongolo kujiuzulu Ukatibu Mkuu

Haya mambo ya Mtendaji Mkuu kujiuzulu ghafla tulizoea kuyaona Chadema kwa Dr Slaa na baadae Dr Mashinji

Sasa yametokea CCM na nafasi hiyo itakaimiwa na Naibu Katibu mkuu kama wanavyofanya Chadema

Siasa za Tanzania zimefika mahali ambapo Uvumilivu wa ziada unapaswa Kuwa kigezo cha Uteuzi hasa zama hizi za utandawazi na Kuzushiana

Mlale Unono 😀
 
Ilivujishwa chat Yake na kimada, eti walitumiana Nyuchiii.
Ko walimchafuaaa,
Mwanamke Malaya hana tofauti na Mwanamke Mchawi sio mtu mzuri usithubutu kumuamini utalia mdomo juu, ndio maana hata vitabu vya dini vinasema "usimuache Mwanamke Mchawi aishi" na wengine wana sheria zao Mwanamke Malaya anapigwa Mawe hadi kufa

Sasa Chongolo na yeye kamuamini Malaya kamtumia nyeti zake sijui alimlisha nini hadi akafanya huo ujinga
 
Mwenyekiti wa CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan ameijulisha Halmashauri Kuu ya CCM ya Taifa kupokea barua ya kujiuzulu kwa Katibu Mkuu wa CCM Daniel Chongolo, na ameridhia ombi hilo.

Katibu wa NEC, Itikadi, Uenezi wa CCM Taifa, Paul Makonda amesema hayo leo Jijini Dar es salaam wakati akitoa taarifa kuhusu Kikao cha kawaida cha Halmashauri Kuu ya CCM ya Taifa kilichoketi leo Jijini Dar es salaam chini ya Mwenyekiti na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan.

Pamoja na mambo mengine, kikao hicho kimejadili hali ya kisiasa ndani ya Chama na nje ya Chama hicho nchini na kimefanya uteuzi wa mwisho wa Wagombea wa nafasi za uongozi ndani ya Chama kwa ngazi ya Mkoa na Wilaya ili kujaza nafasi zilizoachwa wazi kutokana na sababu mbalimbali ikiwemo kifo na uteuzi wa nafasi nyingine.
 
Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa kilichofanyika leo tarehe 29 Novemba, 2023 Jijini Dar es salaam na kuongozwa na Mwenyekiti wa Chama hicho, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan kimeridhia kujiuzulu kwa aliyekuwa Katibu Mkuu wa Chama hicho Comrade Daniel Chongolo
Kazi nzuri sana chama cha mapinduzi na viongozi wake.
Kazi nzuri hii iendelee na kukamilika vema na salama...
 
Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa kilichofanyika leo tarehe 29 Novemba, 2023 Jijini Dar es salaam na kuongozwa na Mwenyekiti wa Chama hicho, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan kimeridhia kujiuzulu kwa aliyekuwa Katibu Mkuu wa Chama hicho Comrade Daniel Chongolo
Hicho kisaini cha Katibu wa Makelele tells it all kuhusu uwezo wa kiakili wa Mhusika
 
mtu yeyote akiomba kwa hiari akome majukumu mliyompangia inabidi haraka sana mukubali ombi lake maana hamujui mbeleni atafanya nini, na kama anajitokeza mwengine akaomba kujiudhuru haraka ridhieni ombi lake muwekeni huru...Wanaccm mbona wapo wengi sana wanaohitaji kuitumikia hiyo nafasi kwa mioyo na juhudi zote ..wapeni wahitaji haraka na mapema pia
 
Back
Top Bottom