Kamati kuu Dodoma mwenye updates za magamba atujuze

Watavuana gamba si muda mrefu
.........mkuu, umetuambia katika nyuzi mojawapo hapa kwamba habari ulizonazo ambazo of course ume-declare sio rasmi kwamba Lowassa na Chenge wamevuliwa gamba, hivyo tuchukulie hizi ndio rasmi mkuu?
 
Hivi umesema mwenye update za EL na JK walikutana wapi atujuze. Kama ndivyo mimi ninachojua EL alisema hawajakutana barabarani kama kuna anayejua walikutana wapi atujuze hata mie ninapenda kujua.
 
Back
Top Bottom