Kamati Kuu CHADEMA yawavua Uanachama Madiwani 2 Jiji la Mwanza

Tukiwapa urais sitashangaa kuona mnamvua rais wa nchi uanachama tunaanza kuhangaika kurudi kwenye makatiba na tafsiri za kisheria.

JK angekuwa CDM angekwishashughulikiwa siku nyingi. Ashukuru udhaifu wa CCM.
 
Osokoni, kwanza kabisa nikusihi uache jazba ili tuweze kukabiliana na hoja.

Kwa namna yoyote simjui Juliana hadi pale alipowekwa wazi na vyombo vya habari.
Hakuna mahali popote ninaweza kukutana naye kisiasa, au kijamii zaidi ya kuwa ni mwananchi mwenzangu.
Sina hiana naye kwasababu mimi siyo mwanasiasa na wala sina chama ninachoshabikia.
Hiyo haininyimi haki yangu ya kushiriki shughuli za kisiasa kwa namna yoyote kama mwananchi wa kawaida tu.

Sina majungu,fitina na uchokonozi. Naelewa kuwa hoja yangu 'haipendezi machoni' .
Siku zote huwa nasimama ninapoamini pana ukweli. Nimewasema CCM/CUF na Jahzi asili kwa uchache tu kulingana na mema au mabaya yao.

Sioni kwanini watu waone ni uovu kuwasema CDM kwa misingi ile ile ninayoitumia kwingine. Nilidhani watu wanapaswa kunishukuru japo kwa kuleta ukweli unaokataliwa kwa kuwa wengi wako katika 'denial state' kuwa CDM ni sahihi kila mara

Nimetumia neno inasemekana nikijua kuwa hayo yamesemwa. Ushahidi upo nyuzi nyingi na minong'ono mitaani. Sipendi kuamini hivyo na ndiyo maana nimesema 'inasemekana'. Ni kwasababu ya mazingira yaliyopo, kwa mtu mwingine mwepesi wa kuzusha ni rahisi kuunganisha dot na kuwa na jibu hata kama ni la uongo na hapo ni pabaya zaidi.
Lakini pia tuhuma hizo hazijawahi kukanushwa na mhusika labda Oskoni utausaidie.

Nami sasa naanza kushawishika vinginevyo kwasababu anavyokingiwa kifua si jambo la kawaida.
Lakini pia ushaidi wa kukingiwa kifua na viongozi nao unazidi kutia shaka.Hakuwajibishwa na mambo ambayo aliyaweka magazetini na kukifadhaisha chama yamemalizwa kwa namna ya 'kipekee'. Ni ukweli Juliana amekingiwa kifua kama anavyokingiwa sasa. Sijui motive behind lakini ukitaja jina tu kuna watu chaza zinamea kama wameona joka la kutisha.

Hakuna fitna, majungu wala uchokonozi kwasababu:
1. Ni kweli Juliana alitoa taarifa
2. Nikweli kulikuwa na mtafaruku
3. Ni kweli kuwa CDM haikumchukulia hatua hata kama ni karipio.
4. Ni kweli kuwa alitumika na kundi ndani ya chama.
Hadi hapo hakuna fitna, majungu wala uchokonozi.

Ni kweli kuwa amekuwa mzigo ndani ya chama. Kitendo cha maamuzi mazito kama haya kuhojiwa kwa kumhusisha yeye ni mzigo. Kutokana na yeye kupewa 'pass mark' ile integrity ya uongozi imekuwa compromised.

Hakuna anayenijibu kwa usahihi kuwa kwanini kuwe na double standard huku wengine wakipigwa na nyundo yeye akiachwa alelewe kwa 'balegheh'
Huu ni mzigo siyo kwa majukumu bali kuwafunga viongozi kuchukua hatua kwa kuwa kila mara atahusishwa tu na maamuzi na mbele ya safari ni tatizo.

Kuhusu kujiuzulu Ijumaa hiyo ni rai yangu anaweza asijiuzulu kabisa. Kufanya hivyo kutakuwa na manufaa ya muda mfupi kwake na matatizo katika chama mbele ya safari kama tunayoyaona.

Mwisho, naomba watu wanielewe. Sijasema hakuna makosa kama yamethibitika kule Mwanza. Sijakataa hatua zilizofikiwa katika kurudisha nidhamu na uwajibikaji. Ninachokataa ni kuwa jambo hilo limefanyika kwa kufumba macho.
Vinginevyo hatua hizo zingechukuliwa mapema tena baada ya CDM kupewa tahadhari zote dhidi ya tabia ya kulindana.

Nimesema pia najua kamati na Chama haviwezi kumchukulia hatua kwasababu mbali mbali.
Kuna sehemu moja tu ambayo inaweza kukinusuru chama, nayo ni hiyo ya kumtaka aachie madaraka kwa kukiuka taratibu za uongozi, kuendelea kuwa sehemu ya sintofahamu na kujenga misingi mibovu ya uwajibikaji.

Chadema kinatakiwa kiwe tofauti na wenzetu waliotufikisha hapa miaka 50. Hakuna kitu kinachoitwa 'ka-mimba kadogo'. Mimba ni mimba tu. Hii habari ya kufanya 'sugar coating' katika kufuata sheria na taratibu haifai.
Kosa la uwajibikaji ni kosa tu.

Tofauti na wengi mnavyodhani, mimi nakisadia chama kurudi katika mstari.
Hata kama kufanya hivyo nitapokea matusi, nipo radhi lakini natimiza kile ninachokiona mimi kuwa ni sahihi.

Nasisitiza kuwa kwa uamuzi wa Mwanza, kwanza Chadema wajijengee uhalali wa kutoa hukumu ili hukumu isimame kama ilivyo. Hakuna sheria nusu glasi.

Na wala watu wasijidanganye kuwa kuungana na CCM ndio usaliti pekee, wasaliti wakweli ni wale wanaotengeneza makundi ndani ya chama kama kundi la makamu mwenyekiti. Hawa ndio watakiporomosha chama.

Double standard ni utaratibu mbaya sana wa kuendesha taasisi, nabaki nikiamini haki haijatendeka Mwanza hadi pale misingi ya haki hiyo itakaposimama katika ukweli kwanza. Tukisadie chama hiki kichanga kinachotegemewa kuchukua dola kuhseshimu taratibu. Nafahamu kuwa ukweli huwa si kitu kizuri kwa nyakati fulani. Wenzangu walio katika 'state of denial' hawatanielewa hata kidogo na watamaliza hasira zao kwa matusi.
Wengine wataona wapi nasimamia na watanielewa na pengine kunishukuru.

Nasikitika umeendelea na mtindo wake uleule wa uandishi wa kijumla nimekupa maswali marais hukujibu specifically umeendelea kutoa majibu ya jumla, nilitarajia kusikia majina ya watu yakitajwa, makosa yakioredheshwa na vyombo vya habari vikitajwa,.hebu rudia kusoma maswali yangu uya adress specifically sio kiujumla otherwise just close this chapter huna point zaidi ya majungu!!
 
Unataka kusema hujui skata la BAVICHA VS SHIBUDA!!!

Nina point kuwa Kwakuwa CDM ilimkingia kifua (nadhani nawe ni sehemu ya uongozi) haina moral authority ya kutoshaya kutoa adhabu kwasababu kwa kuanzia tu ilishakiuka taratibu zake.

Juliana Shonzo ambaye wewe unamtetea alijitokeza katika vyombo vya habari na kumdhalilisha John Heche.
Akiwa kama makamu mwenyekiti hakuwa na haki ya kuitisha kikao cha siri na kundi lake kutoa kauli dhidi ya mwenyekiti.
Juliana hakuweza kusema tamko llilitokana na kikao gani rasmi
Umma wote na wewe ukiwemo unajua kuwa alichokifanya Juliana ulikuwa utovu wa nidhamu wa hali ya juu.

Hakuna hatua zozote zilizochukuliwa dhidi yake. Pamoja na utovu wote wa nidhamu Kamati kuu ilikaa kimya kumlinda. Tukaona kwenye magazeti hoja za kumtetea kama kijana.

Leo vijana wengine wamefanya makosa(na walal sitetei uzembe) kamati kuu imekaa na kuwachukulia hatua kali sana.

Nina point: Chama kimoja hakiwezi kuongozwa na sheria tofauti. Hii ndiyo inaitwa double standard ambayo wewe unadhani ni kitu chema ndani ya taasisi.

Kwasisi tunaoona mbali zaidi ya pua, kwanza tuliliona hili tukawashauri CDM wamchukulie hatua.
1. Kutoa tamko bila idhini ya chama
2. Kumdhalilisha mwenyekiti wake
3. Kutoa tamko kwaniaba ya BAVICHA ya mafichoni.

Kwasababu hizo tunasimama kidete na bila woga kusema wazi kuwa Chadema double standard haifai. Inajenga makundi na kutoaminiana. Hili linashadidia hisia zilizokuwepo kuwa Kulindwa kwa makamu mwenyekiti kuna uhusiano na mahusiano yake binafasi. Inapofika mahali chama kinawekwa katika nafasi ya namna hiyo iwe majungu au uzushi kuna walakini.
Walakini huo hugeuka kuwa ukweli linapotokea jambo kama la Mwanza kwa kulinganisha na hatuwezi kusema wote tutakuwa kama wewe kimtazamo.

CDM lazima ihakikishe inafuata sheria na kujifungua kamba za double standard iliyojifunga kwa makamu mwenyekiti.
Bw Osokoni, narudia tena hakuna mahali ninapoweza kukutana na Juliana isipokuwa kama mwananchi.Sina sababu ya kumjengea majungu kwasababu sababu hizo hazipo na huko sipo nilishapita kabla ya Juliana kuzaliwa.

Soma uelewe hoja, na nakusihi achana na jitihada za kumsaidia Juliana.
Kabiliana na hoja yangu kuwa CDM inachofanya hakina tija mbeleni na double standard ni kitu kibaya.

Siwezi ku-close chapter kwasababu sikuianzisha, na wewe huwezi kuninyamazisha katika jitihada zako za kumlinda huyo binti nikijua kuwa umeguswa kwa namna moja au nyingine. Hata chapter ikifungwa nitasimama kusema ukweli na hili nitalisema tena na tena na tena. CDM double standard ni uonevu! Double standard itaua chama.

Leokuna sheria za Juliana na Chagulani, kesho zitakuwepo za Nguruvi na Kicheche. Hii ndio mwanzo wa vurugu.
CDM hii mchukulie kama challenge na ni ujinga uliotopea kuficha ukweli.
Anayesema ukweli anawapenda. Mimi nitawaambia ukweli kama ninavyowambia CCM, CUF n.k.
 
Una hoja nzuri unajaribu kuijenga na kwa kweli ina mantiki. Unahoji kwa nini iwe kwa Chagulani na mwenzake tu huku Juliana (M/Mwenyekiti BAVICHA) kaachwa? Kwa maana hiyo unaona kuna double standards.

Tatizo ninaloliona kwako hujataka kufuatilia nini hasa kimepelekea Chagulani na Bwana Matata kuvuliwa uanachama na hutaki kufuatilia ni hatua zipi zimekuwa zikichukuliwa mara kadhaa katika kuhakikisha madiwani hawa wa Mwanza wanafuata maelekezo mbalimbali ambayo wamekuwa wakipewa ama na kamati za uongozi za wilaya, mkoa na hata taifa.

Ukilisoma kwa kina tamko la Mh. Mbowe limeeleza kuwa, Chagulani alionywa mara kadhaa juu ya tabia yake ya usaliti na utungaji wa tuhuma dhidi ya viongozi wa CDM (Tena kwa kushirikiana na CCM) kwa lengo la kuusaka umeya. Pamoja na maonyo hayo Chagulani hakujirekebisha. Ikumbukwe kuwa, hadi Dkt. Slaa aliwahi kupiga kambi jijini Mwanza akisuluhisha sintofahamu hii ya akina Chagulani na uongozi wa Mwanza. Kwa mimi nilidhani Chagulani angefunguka na kujitambua lakini wapi.

Kama hiyo haitoshi, Chagulani baada ya Kamati Kuu kumuona hajirekebishi alipewa mwaka mzima wa kuwa kwenye uchunguzi lakini bado hakubadilika. Hulka zake zimeendelea kuwa zilezile za kukiuka maagizo ya Chama na kutojirekebisha.

Sasa kama unavyoona, mlolongo katika kushughulikia suala la Chagulani umekuwa mrefu na kwa kweli chama kilivaa ngozi ya kumvumilia tena kwa muda mrefu lakini mwisho wake hakubadilika. Uchu wa umeya umemtesa kiasi kwamba, hakuona haja ya kufuata taratibu za chama. Yuko tayari asigine viongozi wake lakini aupate umeya wake.

Ni wazi kuwa mlolongo wa Chagulani hadi yaliyomkuta ya kufukuzwa uanachama uko tofauti kabisa na wa Juliana. Juliana alijitokeza mara moja akafanya aliyofanya (Kumdhalilisha Mwenyekiti wa BAVICHA nk.)lakini hatuoni mwendelezo wake katika kukiuka taratibu za CDM na au BAVICHA yenyewe. Alipokanywa na akina Dkt. Kitila Mkumbo alikaa kimya, alisikia na ametulia sasa anafuata katiba na taratibu za CDM.

Tofauti iliyopo kati ya akina Chagulani na Juliana ni kuwa, Juliana alijirekebisha na kwa kweli ni uungwana unapofanya kosa lazima ukiri na ujirekebishe.Lakini kwa Chagulani haikuwa hivyo, ameendeleza ukiukwaji hadi yaliyomkuta sasa ya kutimuliwa uanachama.

Jambo moja ni kwamba, kuna tatizo la Vijana kutoka vyuoni kudhani kuwa, harakati wanazofanya kwenye kupigania maboom na mIvutano yao kwenye mabunge ndivyo wanapaswa waenende wanapokuwa kwenye vyama vya Siasa. This is totally wrong politics za vyuoni ziko tofauti sana na hizi za ushindani wa vyama (Tena vyama dola vya aina ya CCM) one mistake then you can totally risk your political party. Sasa kama unarekebishwa na walio kwenye game ya Siasa kwa muda mrefu huoni maana yake then you are gone.

Vijana tunahitaji kujijenga kisiasa lakini si kwa kuota mapembe na kutana mafanikio ya harakaharaka. Uvumilivu ni muhimu sana.

Hata hivyo, Chagulani ana nafasi, bado mdogo sana, anaweza kufikiria kukata rufaa Baraza Kuu na kwa kweli afanye hivyo.Au laa! anaweza kutafuta carrier kwenye chama kingine ingawa bado lazima atambuwe kuna katiba, sheria na kanuni za chama. Kama hatakuwa wa kuzifuata then, ategemee haya kumkuta kila atakakoenda. This is the Rule of the game.
 
Back
Top Bottom