kamata mkoko kwa 10 milion

Mkuu hataki kujibu, tax exemption maana yake, wakati gari inaingia nchini haikulipiwa kodi huyo bwana alipewa 'msamaha wa kodi kwa masharti asiiuze' ukishainunua ukitaka kufanya transfer(kadi isomeke jina lako) utatakiwa kuilipia kodi hiyo gari, ukiacha cost zingine mara nyingi hiyo kodi peke yake ni 30% ya cost ya kununulia na huwezi kukwepa hili maana kwenye kadi kuna maandishi 'TAX EXEMPTED'

Mkuu I need the car serious. Umesema tax duty exempted what do you mean?
 
Me nasifia bana..kitu muzuri,
japo i normaly dont like 3 doors car
wenye pesa ng'oeni mchuma ,bi shosti anaisubiria :)
 
Its on a second page?!!! Its just like a crowd pulling thread! Mlachake usinikodolee macho jamani, I'm just wondering!
 
Last edited by a moderator:
Wee mangi mbona unataka kutupigilia msumari wa moto kimya kimya, why pm..? I love JF, I will die for u
 
Havina tofauti na bajaj,ukipiga kona ya ghafla unajikuta aghakan pembeni ya DIC lol!!

IMAG0284.jpg

aisee
 
Yaani ubaya haviuziki na vimekaa kichoyo choyo

Havina tofauti na bajaj,ukipiga kona ya ghafla unajikuta aghakan pembeni ya DIC lol!!
Sasa kwa nini watu wanavi import hivi vigari?

Na sidhani ni suala la unafuu wa bei. Huwa naamini magari yaliyotumika bei zake haziko fixed, kwamba gari la milango mitatu sio cheaper kuliko la mitano siku zote, yanaweza yote kuwa bei sawa, tena ukitafuta huko yanakotoka unaweza pata la milango mitano cheaper!
 
Milango 3!? 10M? alafu ina excemption ya kodi. Eti hutaki watu wachangie eti sio thread. Basi katangazie huko kwenye magazeti, TV na radio. Hapa jf kuchangia ruksa mkuu. hayo mashariti peleka kwako au kwenu. Na naomba. Mode. mpeni BAN huyu kwa kutunyima uhuru wa kuchangia humu jf.
 
Teh teh teh hizo sheria na masharti akampe mke wake,hajasoma motto wa jf...''WHERE WE DARE TALK OPENLY''
 
Back
Top Bottom