Kamanda wa Urusi auawa Bakhmut, aisei huo mji unaendelea kuwatokea Warusi puani

MK254

JF-Expert Member
May 11, 2013
31,801
48,781
Yaani mpaka unamfikia kumuua kamanda utakua umefagia wanajeshi kama senene...jameni Urusi nani atawaokoa...
Enzi za kunyang'anyana ardhi ziliisha, hatupo kwenye zama za kale ambapo mvamizi alikua anavamia na kujimegea, leo hii ramani zilishachorwa na kila mtu anaijua nchi yake na mipaka yake....
Hili somo hakua nalo bwana Putin, linamtesa sana, wanajeshi wake wanafia kwenye ardhi ya watu tena kwa maelfu....hapa kamanda kaliwa shaba ndani ya Bakhmut...
=====================
The commander of Russia's "Ghost" Brigade, Artur Bogachenko, has reportedly been killed in Ukraine.

News of Bogachenko's death was reported by the Colonel of the Armed Forces of Ukraine, Anatoly Shtefan, while the Russian Telegram channel "Russian Spring Military Correspondents" reported that the commander was killed in clashes near Klishchiivka, a settlement south of Bakhmut in eastern Ukraine's Donetsk region.
 
Huyo ni soldier, ulitaka afie kifuani pa mwanamke? ni heshima kwa mwanajeshi kufia vitan
 
Nashangaa sana kwenye Hii vita kila Anayeuwawa Upande wa Urusi anaitwa Kamanda, Jenerali..

Lakini Makomandoo wa Ukraini wakiuawa utasikia Watu watatu wamefariki katika shambulio la Ndege zisizokuwa za Rubani..

Yaani Kwamba Mashambulio ya Ukrain yanaua majenerali na makamanda wa urusi pekee ...na mashambulizi ya urusi yanaua Raia pekee....
Shame, Fake news.. .
 
Wataisha wote hao majenerali, ulikua ujinga kuvamia nchi ya watu na kuanza kuua hadi raia....hata Marekani alisalimu amri kwa Vietnam.
 
Yaani mpaka unamfikia kumuua kamanda utakua umefagia wanajeshi kama senene...jameni Urusi nani atawaokoa...
Enzi za kunyang'anyana ardhi ziliisha, hatupo kwenye zama za kale ambapo mvamizi alikua anavamia na kujimegea, leo hii ramani zilishachorwa na kila mtu anaijua nchi yake na mipaka yake....
Hili somo hakua nalo bwana Putin, linamtesa sana, wanajeshi wake wanafia kwenye ardhi ya watu tena kwa maelfu....hapa kamanda kaliwa shaba ndani ya Bakhmut...
=====================
The commander of Russia's "Ghost" Brigade, Artur Bogachenko, has reportedly been killed in Ukraine.

News of Bogachenko's death was reported by the Colonel of the Armed Forces of Ukraine, Anatoly Shtefan, while the Russian Telegram channel "Russian Spring Military Correspondents" reported that the commander was killed in clashes near Klishchiivka, a settlement south of Bakhmut in eastern Ukraine's Donetsk region.
Hata Putin alikufa akafufuka akafa tena akafufuka...
 
Huyo kwa sasa ni mfu tu maana hata salamu kutoka kwa mtoto mdogo inabidi wapambe washikilie..

_-20-11-jpg.2467859
 
Nashangaa sana kwenye Hii vita kila Anayeuwawa Upande wa Urusi anaitwa Kamanda, Jenerali..

Lakini Makomandoo wa Ukraini wakiuawa utasikia Watu watatu wamefariki katika shambulio la Ndege zisizokuwa za Rubani..

Yaani Kwamba Mashambulio ya Ukrain yanaua majenerali na makamanda wa urusi pekee ...na mashambulizi ya urusi yanaua Raia pekee....
Shame, Fake news.. .
Kwasababu wanadai makamanda wa supapawa hawafi .
 
Back
Top Bottom