Kamanda tosi alistaafu?

Jidu

JF-Expert Member
Mar 9, 2011
1,232
754
Nimekuwa nikijiuliza yu wapi kamanda tosi ambaye alijizolea umaarufu siku za nyuma kwa uhodari wake katika operation mbalimbali ndani ya jeshi la polisi.leo hii nimemuona kwenye taarifa ya habari TBC akiwa na magwanda ya askari wa wanyama pori,je kamanda huyu alishastaafu?
 
yeah, Kamanda Tossi alishaastafu upolisi na sasa ana mkataba na Wizara ya Maliasili na utalii wa kupambana/kuzuia ujangili wa wanyamapori. Amefanya Good Job na wanafunzi wa chuo cha taaluma ya uhifadhi na usimamizi wa wanyamapori - Pasiansi kilichoko huko Mwanza. Hata mimi nimeona taarifa ya ufanisi wake kupitia TBC na comments za Mkuu wa chuo hicho. The man is still strong and contimmited.
 
Umenilumbusha na yule sijui...Mpiganaji Rambo..naye simsikii siku hizi.inaonekana na hawa maafande nao huwa wanavuma na kuchuja kama wasanii wa bongo fleva au wacheza mpira wa bongo.
 
Umenilumbusha na yule sijui...Mpiganaji Rambo..naye simsikii siku hizi.inaonekana na hawa maafande nao huwa wanavuma na kuchuja kama wasanii wa bongo fleva au wacheza mpira wa bongo.
<br />
<br />
Unazungumzia Rwambo, huyu yuko makao makuu.
 
Back
Top Bottom