Kamanda Kova kama hii ni amri ifute

Mazoko

JF-Expert Member
Jul 10, 2009
674
184
Sisi watumiaji wa barabara ya Alhasan Mwinyi tukifika salenda tunakerwa sana na tabia hii ya maaskali wako kutusimamisha kwazaidia ya dk 15 mpaka wewe upite sidhani kama hii ni sawa leo tumekaa zaidi ya dk 18 ndiyo wewe unapita

Tunavyojuwa wakuu wa nchi ndiyo wanaruhusa yakutuweka wewe uko kundi gani tunaomba wahusika hili lifanyiwe kazi laasivyo kesho mkifanya hivyo nitasimamisha gari katikati ya barabara akifika karibu alafu tumweleze hasira zetu
 
Kweli kabisa yaani sisi tulikaa zaidi Ya dakika 45
 
Baraza la Maadili...jamani tuangalieni sisi wananchi.kwa kweli tumechoka kila upande.Hapa tulipo hata ile haki ya kuishi tuna ona kama muna mpango wa kutunyanganya mubakie nyiye tu. Barbarani tunakuwa kama hatuna haki ya kuzitumia.Kama ndivyo tutengenezeeni zetu za vumbi nyie mubakie na hizo nzuri lakini muelewe kwamba viongozi kuhudhuria mazishi yenu haimanishi mnakwenda kuuona ufalme wa mbinguni.Mutahukumiwa kama sisi na si ajabu hukumu yenu ikazidi kwa sababu ya kuwatesa viumbe wa Mwenyezimungu.
 
mbona na yeye huwa anaganda kwenye foleni siku nyingine? afu kawaida asubuh kila upande huwa unaitwa dk 20 dk 20
 
Sisi watumiaji wa barabara ya Alhasan Mwinyi tukifika salenda tunakerwa sana na tabia hii ya maaskali wako kutusimamisha kwazaidia ya dk 15 mpaka wewe upite sidhani kama hii ni sawa leo tumekaa zaidi ya dk 18 ndiyo wewe unapita

Tunavyojuwa wakuu wa nchi ndiyo wanaruhusa yakutuweka wewe uko kundi gani tunaomba wahusika hili lifanyiwe kazi laasivyo kesho mkifanya hivyo nitasimamisha gari katikati ya barabara akifika karibu alafu tumweleze hasira zetu

Kiongozi usijaribu hii kitu weka mbali na watoto, nihatari.
 
wanawasimamisha kwa mizinga ama vifaru,ama wanatoboa tyres za gari zenu? huyo kova hamjui alipo mmchane live??ikulu na wizara ya mambo ya ndani c ipo huko huko dar?mnashindwa kuwaambia mabosi wake???kova acha dharau! suleiman nasema hata kama watu wa dar unawachukulia poa staki dharau zako za kipuuzi,nadhan umenielewa
 
Kwa mkwara huu asipoelewa.hataelewa tena.
 
kwali nyie mepoteza dira yani kamanda wa polisi mkoa wa dsm akae folen? kwanza mnajua kuwa viongozi wa polisi wapo kwenye hatari kuuubwa ya kupigwa risasi? hao viongozi wa polisi wanalindwa kwa ulinzi mkali zaidi na uthithubutu kuleta mmzaha hapo maana utapigwa risasasi nyingi uwe na matundu kama neti ya mbu.
 
mbona na yeye huwa anaganda kwenye foleni siku nyingine? afu kawaida asubuh kila upande huwa unaitwa dk 20 dk 20

Hakuna utaratibu wa dk 20 labda mbagala kilwa road au Nyerere road huku kwingine ni dk 5 au 7
 
wanawasimamisha kwa mizinga ama vifaru,ama wanatoboa tyres za gari zenu? huyo kova hamjui alipo mmchane live??ikulu na wizara ya mambo ya ndani c ipo huko huko dar?mnashindwa kuwaambia mabosi wake???kova acha dharau! suleiman nasema hata kama watu wa dar unawachukulia poa staki dharau zako za kipuuzi,nadhan umenielewa

Umejitaidi kuandika kiswahili ila usikate tamaa utajuwa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom