Kamanda Kamuhanda kuhamishwa Iringa, yadaiwa chanzo ni mauaji ya Mwangosi!

Kumuamisha tu hakuna maana naye afikishwe kwenye vyombo vya sheria kwani amri ilitolew na yeye na si mtu mwingine, utawala wa sheria bongo ni ishu, si kwamba sheria hazipo ila hazifatwi ndo maana muda mwingine njiuliza katiba mpya itasaidia nn ikiwa hata iliyopo sasa haifuatwi?
 
wakimuhamisha wampangie kitengo cha traffic halafu awe anaongoza magari hapo Ubungo ili tumgonge na semi trailer kumalizia machungu aliyotuletea...ukiua kwa upanga utakufa kwa upanga...
 
Umeelewa kweli chanzo cha habari mkuu??

Chanzo cha kuaminika kutoka ndani ya Jeshi la Polisi...n u expect me to believe u!??
Unajua humu JF kuna watu wenye kufanya kazi sehemu uzitajazo so nielewe na uniamini nisemavyo nimgekuwa MODERATOR....ningekupa ban wewe na huyo 'mwandishi wetu'!!!
 
hivi siku ile wangetawanyika tu kistaarabu yote hayo yangetokea? si wangesubiri tu sensa iishe halafu waendelee na M4C yao. maana siku hizi hakuna tofauti ya chadema na waandishi wa habari. Nao siku hizi wameacha taaluma zao wamehamia kuwa miongoni mwa M4C.
 
Chanzo cha kuaminika kutoka ndani ya Jeshi la Polisi...n u expect me to believe u!??
Unajua humu JF kuna watu wenye kufanya kazi sehemu uzitajazo so nielewe na uniamini nisemavyo nimgekuwa MODERATOR....ningekupa ban wewe na huyo 'mwandishi wetu'!!!

Na hutakaa uwe moderator!
 
Na hutakaa uwe moderator!

I don't blame u my brother..ni kaugonjwa kalikotuingia wengi wa Watanzania kila kitu tumefanya cha kisiasa, tena kama si chadema ni ccm. Mimi sijaliongelea hili kisiasa kaka.
I simply was opening your eyes to the fact that alichoandika "mwandishi wetu" na alichopaste BHULULU siyo kweli hata kidogo. Sasa badala ya kuhoji na kuchunguza zaidi unaanza kunitukana (ndiyo! maana kumuita gwanda gamba ni tusi)
 
Maisha ni fumbo juzi juzi nikakutana kamanda Kamuhanda amesitafu anaishi Mwanza. Nikacheka sana. Kachoka ana Harrier Imechoka balaa. Hah

Tuishi kwa wema na upendo. Maisha ni safari tu
 
Back
Top Bottom