kama

Philipo Kidwanga

JF-Expert Member
Jul 12, 2012
2,042
599
kama ningekuwa na uwezo wa kuwa fimbo yenye bluetooth ningesafiri mpaka magogoni ndani kabisa na ningewatandika watu fimbo za masaburini hadi wakose nguvu za kwenda kutalii na akina bekham.na wengine washindwe kwenda msibani ethiopia maana kwa kawaida wameshapata sababu ya utalii.pambaf.
 
Back
Top Bottom