Kama wewe Ni Mwanamke....mara ngapi...na kama wewe ni mwanaume, mara ngapi.....????

STK ONE

JF-Expert Member
Dec 31, 2011
627
184
:lock1:Kuna kitu nimekisoma kwenye moja ya maada wanajamvi kimenigusa sana.
Nipo kwenye ndoa huu mwaka wa NNE sasa. na kabla ya hapo nilikuwa na mahusiano ya kimapenzi na mke wangu wa sasa kwa takribani miaka mitano kabla ya kuoana naye.
Kweli sikumbuki siku mke wangu aliponiambia kuwa "Mume wangu leo nina hamu ya kufanya mapenzi."
Kama wewe ni mwanamke, umeolewa au una mpenzi, ni mara ngapi umeanzisha sex? Kama wewe ni mwanaume, umeoa au una mpenzi, ni mara ngapi mkeo/mpenzio ameanzisha sex?
Kwa nini wanawake waizito sana katika hili? Mimi nimejaribu kukaa na mke wangu mara kadhaa kuhusu hili na tumeliongea sana, nilifikiri kuwa haridhiki kimapenzi na pengine hana hamu kabisa ya kufanya sex. Lakini mara zote ambazo nimekaa naye na kuongea naye amenihakikishia kuwa anaridhika sana na tena huwa anatamani kuanzisha, lakini anashindwa tena ameniambia kabisa kuwa siku ambazo huwa anataka kuanzisha, halafu nikajikuta nimeanzisha ni nyingi kulike zike ambazo huwa naanzisha bila yeye kuwa na taarifa. eti, ananiambia ni kama vile fikra zangu huwa zinaenda na zake. Naamini mara chache, lakini bado nakuwa na wasiwasi juu ya mambo haya? Wanaume na wanawake nihakikishieni juu ya hili, ni hali ya kawaida, au mke wangu ananidanganya haridhiki that's why haanzishagi mechi?????:bump2::bump2::cool2:
 
Kwani kwenye ndoa mpaka mke wako akuambie au hata akijipara akavaa kanga laini na kukitikisia masaburi si kama ameshakwambia?
Tatizo wanaume wengi tunapenda vitu straight sana lakini wanawake hawapo hivyo kama ambavyo majibu yao wakitongozwa siyo straight.

Jifunze lugha ya ishara toka kwa mwenzi wako inawezekana ameshasema mara nyingi kuliko unavyofikiri au unavyotaka.
 
hahha aibu...sasa ndio yuseme wanawake penda mtu weza soma body language yake aibu!!! sikujua mie
 
kweli ni tatizo hawasemagi ila nafikiri wao hawana hamu mara kwa mara kama sisi!sisi mke akipita tuu unapata hamu
 
Naamini kama mkeo ungekua wamfurahisha ipasavo wewe ukilega kuanzisha yeye ataanzisha. Sio lazima kwa maneno ya kuomba hata matendo pekee yatosha kusema wataka.
 
Kwani kwenye ndoa mpaka mke wako akuambie au hata akijipara akavaa kanga laini na kukitikisia masaburi si kama ameshakwambia?
Tatizo wanaume wengi tunapenda vitu straight sana lakini wanawake hawapo hivyo kama ambavyo majibu yao wakitongozwa siyo straight.

Jifunze lugha ya ishara toka kwa mwenzi wako inawezekana ameshasema mara nyingi kuliko unavyofikiri au unavyotaka.

Yah kweli Losambo, umenena vizuri..
Ni muhimu tuelewe hizi tofauti za msingi kati ya mwanaume na mwanamke
 
Unachosema mtoa mada ndiyo wako hivyo !
Namie nategemea wahusika watufundishe kupitia Uzi huu, kwa nini hivyo ?
 
Shule nyingine bwana...hata sijui kama kuna siku mtu atajenga chuo cha kufundisha haya mambo ya MMU...Labda ingesaidia maelfu ya watu.

Hata hivyo, naamini kuna watu bado wasingeelewa hata wangepewa PhD!!

Anyway...nadhani hili suala ni gumu kama kuuliza kama kipofu anaona au la? Na je bubu anasikia au la??

Babu DC!!
 
hapa naukumbuka uzi mmoja wa LIZZY

SI ile thread inahusu sana.
Mtu anatakiwa abadilike badilike kama tunavyobadili mboga. Leo anaonesha kwa vitendo kwanzia sebuleni, kesho anasema waziwazi, mtondogoo anaonyesha wakiwa ndani kabisa, siku inayofuata anasema tangu mwenzie akiwa kazini n.k

Sio kile siku formula ile ile, matokeo yake mzee akifunuliwa upaja tu huko kwenye vikao vya biya au ofisini anachanganyikiwa utadhani mke/mwenzi wake hana upaja.
 
So you really wanna have a lot of sex?.......Tengeneza mazingira ambayo yatamweka mammy kwenye good mood...nakuhakikishia utakuwa unakula tunda kila siku. Wanawake ni watu wa kudeka so mdekeze wako, be a good listener, mfanyie suprises na vijizawadi once in a while, siyo lazima umpe vitu vikubwa vikubwa...just be creative kumwonyesha kwamba unamjali. Kama umepata tunda jana yake mtumie text ukiwa kazini...mwambie how wonderful she was the previous night, na you cant wait to get it going again...make her feel special.
 
So you really wanna have a lot of sex?.......Tengeneza mazingira ambayo yatamweka mammy kwenye good mood...nakuhakikishia utakuwa unakula tunda kila siku. Wanawake ni watu wa kudeka so mdekeze wako, be a good listener, mfanyie suprises na vijizawadi once in a while, siyo lazima umpe vitu vikubwa vikubwa...just be creative kumwonyesha kwamba unamjali. Kama umepata tunda jana yake mtumie text ukiwa kazini...mwambie how wonderful she was the previous night, na you cant wait to get it going again...make her feel special.
 
Shule nyingine bwana...hata sijui kama kuna siku mtu atajenga chuo cha kufundisha haya mambo ya MMU...Labda ingesaidia maelfu ya watu.
Babu DC!!
Kuna chuo cha mapenzi kimefunguliwa Australia....wanafundisha km vyuo vingine namaanisha hadi practicals zimo....ntawaletea link yao
 
Du me wife alishaniabiaga mara moja tu kama miaka miwili iliyopita ila uwa naona matendo yake akiwa anataka mara anasema leo naenda kulala mapema ooh mara naogopa ndani kwenda peke yangu niliona kama kuna mjusi hv na kama bahati mbaya zote zimefeli hz trick ukilala she must start kukurushia miguu juu yako that is all about body language so please u must understand ur partner ili umtendee haki yake ipasavyo
 
Back
Top Bottom