Kama wewe Ni Mwanamke....mara ngapi...na kama wewe ni mwanaume, mara ngapi.....????

i hope it does'nt involve stripping, labda am too picky.
Mtoa mada hajawasoma wanawake tu, its not easy kusema mara nyingi ni vitendo am sure its more romantic kama akija akakukumbatia na kukubusu and so on kuliko akisema "Nataka ku**wa"
For a wife,I like that one, it rings bell in me than action za silence!
kwa girlfriend simlaumu akitoa ishara!
 
Kwani kwenye ndoa mpaka mke wako akuambie au hata akijipara akavaa kanga laini na kukitikisia masaburi si kama ameshakwambia?
Tatizo wanaume wengi tunapenda vitu straight sana lakini wanawake hawapo hivyo kama ambavyo majibu yao wakitongozwa siyo straight.

Jifunze lugha ya ishara toka kwa mwenzi wako inawezekana ameshasema mara nyingi kuliko unavyofikiri au unavyotaka.

Nadhani unerukia swali bila kulielewa
Nadhani anachomaanisha mkuu ni kuanzwa kuna utamu wake
 
siku nyngine mkeo anaweza akakuambia baba tukalale na ww ukicheki mishale ya saa mda mliozoea kwnd kulala bado..so jiongeze na ujue mwenzio ana muhemko nyanyuka mkalale
 
So you really wanna have a lot of sex?.......Tengeneza mazingira ambayo yatamweka mammy kwenye good mood...nakuhakikishia utakuwa unakula tunda kila siku. Wanawake ni watu wa kudeka so mdekeze wako, be a good listener, mfanyie suprises na vijizawadi once in a while, siyo lazima umpe vitu vikubwa vikubwa...just be creative kumwonyesha kwamba unamjali. Kama umepata tunda jana yake mtumie text ukiwa kazini...mwambie how wonderful she was the previous night, na you cant wait to get it going again...make her feel special.

Awww, gentleman upo vizuri

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Aisee kwenye kipengele hicho sipigiwi nacheza, hata kama upo ofisini nita kutext babe angu leo nina nye.ge hatari usichelewe kurudi na ukitia mguu tu home shati linavulia living room
 
Aisee kwenye kipengele hicho sipigiwi nacheza, hata kama upo ofisini nita kutext babe angu leo nina nye.ge hatari usichelewe kurudi na ukitia mguu tu home shati linavulia living room

aisee... Lakini yule mheshimiwa bado anakutafuta ujue!!
 
Mhhh jieleze kama unaona mwanaume mwenyewe ana mapenzi na wewe au mumeo,vinginevo ni kujiabisha tu naona...
 
Mi nilikuwa nalianzisha kila siku kila saa, kipindi tunaanza uhusiano
mmmh hadi akapata wasiwasi na ndo reason ya yeye kunifungulia account jf ili nyg zipungue
naomba asipite hapa nitajisikia aibu kwakweli
 
how..? cant understand my dear
 
Aisee kwenye kipengele hicho sipigiwi nacheza, hata kama upo ofisini nita kutext babe angu leo nina nye.ge hatari usichelewe kurudi na ukitia mguu tu home shati linavulia living room

Kumbe ndo maana lile zembe ulilolimwaga lilikuwa linalia kama kepten Komba.
 
Back
Top Bottom