Kama wewe ni mgeni Shinyanga mjini, usilale Buchosa guest house inafuga vibaka na majambazi

taarifa zako nilizisikia.. Nakushauri acha kuchafua biashara ya watu, hakuna mmiliki wa hotel ashirikiane na vibaka kuibia mteja.. Uliyeongea nae kwanza si mmiliki ni meneja wa gest.. Pili hiyo gest wapo kinadada wanaojiuza wamepanga hapo, na ndicho kilichokupeleka wewe ukae nao karibu.. Hilo ni jambo la kawaida kwa miji yote.. Tatu, Buchosa ipo uswahilini sana, wewe mgeni umefikaje kama si kuuliza watu sehemu ya dadapoa ukaishi.. Kama gesti cheap, Shinyanga zipo mamia zaidi ya hiyo, ila bado ulipenda pale.. Nne, kuhusu kugongewa usiku, kumbuka ile gest biashara kubwa ni short time so mtu anaingia na kutoka halali, we ukapenda kuweka kambi.. Mtu aliyekuwa mchana kasahau saa yake; ni dhambi kukugongea aichukue ili asubuhi usiondoke nayo????

Nb: ukiwa mgeni mahala uliza sehemu ya matakwa yako sio kuvamia tu na kuishia kutoka povu Jf huku ukichafua biashara za watu.. Vipi ulienda polisi au umbea uliosikia umetimiza haki yako ya msingi???

acheni wizi na ujambazi kwa wateja nyie
povu jiiingi kutetea uharamia wako
 
Mimi yamenitokea pale Buchosa nilipofika Shinyanga katika tafuta tafuta guest nikajikuta nimedondokea pale. Tokea nilipoingia pale ndiyo nikaanza kuona vituko wakina dada zaidi ya kumi wamechukua chumba kimoja na wanapishana kuleta wanaume kibaya zaidi ilipofika usiku wa saa 8 nikiwa nimelala nilianza kugongewa mlango na watu wasiojulikana wakitaka niwafungulie eti wamesahau begi lao chumbani kwangu nilikuwa mbishi ila wakawa wanagonga kwa nguvu ili uvunjike ndiyo nikavuta kitanda na kukiweka mlangoni baada ya kuona mlango umekuwa mgumu wakaondoka.

Kilichonishangaza hata muhudumu hakuwepo, Kulipokucha nikamweleza mmiliki wa hiyo guest yake haina vitu kama ivo lakini watu wengine ndiyo wakaniambia kuwa yeye ndiye hushirikiana na vibaka kuibia wateja wake hasa ukionekana una kitu cha thamani.

Kwahiyo BUCHOSA siyo nyumba yakulala wageni bali ni nyumba ya kulala vibaka.
Wakalalewenyejisio??
 
Makoa ni poa sana ,nimelala mara nyingi hapo na zipo Makoa kama mbili hivi hapo karibu na stand,ukiona guest ni buku 5,kuna akina dada poa na haina vitasa imara basi geuka haraka sana afadhali ukalale kwenye benchi la kupokea wageni polisi au hospitali mkuu.

mkuu, nina kanuni, any lodge ambayo gharama yake ni chini ya 20,000 kwa mkoani, huwa silali ni ishara ya short time centre japo si zote.
 
halafu mtu anasema eti wanamharibia biashara...biashara haramu ya kuuza binadamu!!!
 
nielekeze vizuri ipo upande gani hiyo gest house aisee hao wakina dada wameustua roho yangu sipati kukwambia...na bei zao zikoje ulipata kuwauliza!?
 
nielekeze vizuri ipo upande gani hiyo gest house aisee hao wakina dada wameustua roho yangu sipati kukwambia...na bei zao zikoje ulipata kuwauliza!?

ipo jirani na msikiti wa majengo kuhusu ao kinadada mimi sikutaka kujua sababu hilo halikunipeleka
 
Shinyanga kuna hotel/guest nyingi tu ambazo ni nzuri. Ukifika shinyanga uliza KARENA, VIGIMARK, MASU, MALAIKA, FM LODGE, EMPIRE, MAKONDA, SUMAYE, LA' FAMILIA, MAKOA, hizi hazina upuuzi kama huo.....

umesahau SHAURI MOYO, NDETENGO, SHINYANGA BY NIGHT, KISAU, WHITE HORSE, ISALE, CONCORDIA na URAMBO napo ni pazuri
 
Pole mkuu! Gest ya 5000 lazima ikugharimu.mara nyingi huwa ni za madada poa,

limeibuka tatizo la ukahaba miji yote na wanaofanya hii kituni wasichana wadogo sidhani hatakama wanajua maana ya ngono achilia madhara yake. ipo haja ya serikali kuingilia kati vinginevyo taifa litaangamia muda simrefu.
 
limeibuka tatizo la ukahaba miji yote na wanaofanya hii kituni wasichana wadogo sidhani hatakama wanajua maana ya ngono achilia madhara yake. ipo haja ya serikali kuingilia kati vinginevyo taifa litaangamia muda simrefu.

kweli kabisa
 
Back
Top Bottom