Kama ungepata nafasi ya kuzaliwa mara ya pili ila uwe mnyama! ungechagua kuwa Mnyama gani!???

yule mnyama anayependa kusex sana sijui anaitwa nan mpenda asali sanaaaaaaaaaaaaaa...jani likigusa papuchi ya jike lake...analichezeshea dudu mpaka anatoa bao
 
Sawa mkuu nimekusoma unachomaanisha. Nashukuru na ww umeelewa kwamba huu ni utani tu. Actually nmewahi kufuga nyau ndo maana nimemtaja kirahisi tu ila sio kwamba mi napenda kuiba mboga
Hahahaha tupo pamoja... Ila utakuwa unapenda sana wali nazi, naomba umwambie shemeji nitakuwa mgeni kwenu, ahsante sana...
 
Ningekua NYEGERE(honey badger) tu hakuna namna
1cb93197b8600e73f65a0c80051071b0.jpg
 
Na kwann wewe ulichagua uzaliwe simba,ila vizuri ukizaliwa jike,harafu mm niwe thimba dume,weeeeee!!kila tukikamata swala hatuli mpaka nikupige dushelele
Hahahaaa! Hiyo Avatar yako sawasawa na Mawazo yako! By the way Mimi ningekua Simba Dumbe! King of the Jungle....!!!
 
yule mnyama anayependa kusex sana sijui anaitwa nan mpenda asali sanaaaaaaaaaaaaaa...jani likigusa papuchi ya jike lake...analichezeshea dudu mpaka anatoa bao
Anaitwa Nyegere mkuu!
 
Hivi wakuu Kuna uhusiano Kati ya tabia za wachangiaji na tabia za Wanyama waliowachagua??
 
Hahahaaa! Hiyo Avatar yako sawasawa na Mawazo yako! By the way Mimi ningekua Simba Dumbe! King of the Jungle....!!!
Sasa wew c'umechagua kuwa simba,unacholalam nn,mbona huna shukurani mkuuu,mm simba mwenzi(mzazi mwenzio nipo),ndomana nimekwambia tukikamata tu swala wetu tunamuacha kwanza nakupiga dushelel,theni tutahamia kula,sawa thimba
 
Back
Top Bottom