Kama unampenda mume,mke/mpenzi fanya hivi

BUMIJA

JF-Expert Member
Oct 19, 2011
5,818
11,001
Watu Wanajidai Wanapendana Kweli Kweli.Mahaba Yenye Vionjo Vya Kila Aina.Kama Kweli Unampenda Weekend Hii Mpe Simu Yako Akae Nayo Hata Masaa 2.
 
Mimi nikiwa home basi simu yangu anashinda nayo yeye. Au nakosea kumzidishia masaa?
 
Mi nilidhani unashauri wabadilshane nguo za ndan kwa week nzima kuonyesha mapenzi ya dhati hii ya simu ni kawaida sana.
 
Mi nilidhani unashauri wabadilshane nguo za ndan kwa week nzima kuonyesha mapenzi ya dhati hii ya simu ni kawaida sana.

Cha Kawaida Kwa Kusema,fanya Tendo Lenyewe
 
Wengine wake zetu ni kama personal assistant.
Calls, emails, texts zote anajibu yeye.
Maswala ya kubeba simu mifukoni hayana maana kama kuna mtu anaweza kukusaidia kuibeba.
 
Wengine wake zetu ni kama personal assistant.
Calls, emails, texts zote anajibu yeye.
Maswala ya kubeba simu mifukoni hayana maana kama kuna mtu anaweza kukusaidia kuibeba.
you are such a gentleman she z lucky
 
"Mapenzi ya siku hizi bila kugombana yanakuwa hayana stimu,
Ruksa kushikana ila siyo kushikiana SIMU. " By Fareed Kubanda.
 
acheni mbwembwe, simu zenyewe zina password kibao, alafu eti huwa ninamuachia mke wangu, thubutuuuu..........
 
mimi cm yangu huwa ckaagi nayo kbs nikiwa home namwachiaga tu mme wangu and no kero at all
 
Hata vitabu vya dini vimetahadharisha mwanaume aishi na mwanamke kwa akili. Sasa km unadhani beijing ni zaidi ya maandiko basi endelea kuthubutu
 
Back
Top Bottom