Kama una jambo lolote linalokusumbua la KIINGEREZA uliza ujibiwe

BANDOKITITA

JF-Expert Member
Oct 4, 2022
1,211
2,344
Kwa wiki hii km una jambo lolote linalokusumbua la KIINGEREZA uliza ujibiwe. Kuanzia wiki ijayo nitakuwa naweka mada za KIINGEREZA zinazotamumetiza watu. usikose uhondo

Jifunze KIINGEREZA hapa.
E.g. people fail to differentiate the usage of "give and bring". They treat these lexical verbs as the same.

We shall see their difference in future time.
 
Mkuu nasubili jibu huku.
 
A nominated senior pilot who is the overall incharge of the aircraft is the Captain.
 
Captain is a nominated senior pilot who is in overall charge of the aircraft. He/she has a final authority of an overall matters related to the aircraft, passengers, cargo, and safety. Thus, he/she is the pilot command and final decision maker.

Pilot is a person who flies an aircraft and acts as the second command under the captain.
NB:
All captains are pilots but not all pilots are captains.
 
Sasa haya si hata Mimi nayapata Google?
 
Watz wengi hawajui kuhusu Matumizi ya hizi prepositions (in,on,by,at,)

Then fundisha kuhusu phrases verbs na pia wafundishe kuhusu irregular verbs na regular verbs

Ukikwama nambie mkuu
 
Sasa kama unajua unapoweza kuyapata uliuliza ili iwe nini?
Afadhali umetusaidia. Nilihisi tu huyu Kuna kitu anakitafuta. Mimi nilisema natatua magonjwa ya sayansi ya lugha ( linguistics) lakini yeye kaleta mambo ya kijografia ingawa hata kwenye KIINGEREZA Kuna misamiati km hiyo.
 
Watz wengi hawajui kuhusu Matumizi ya hizi prepositions (in,on,by,at,)

Then fundisha kuhusu phrases verbs na pia wafundishe kuhusu irregular verbs na regular verbs

Ukikwama nambie mkuu
Haina shida hivyo vitu vidogo sana Nita deal navyo next week km nilivyoahidi. Sio hayo tu Watanzania wengi hasa wanafunzi wa level zote wanashindwa pia kutofautisha matumizi ya relative pronouns/interrogative pronouns km which/that, who/whom, na whose na mengine kibao tu.

Sio phrasal verbs pekee mkuu hata prepositional phrase ni shida.

NB:
1) Tuliosoma sayansi hatuhitaji kujua KIINGEREZA fasaha chenye kufuata muundo wa kisarufi. Tunachohitaji ni kufikisha ujumbe/ maana ( semantic point of view).
2)Wangapi kati yetu tuliambiwa na walimu hasa Primary Kuwa neno " WHICH" linatumika kwa vitu na wanyama pekee ha ha ha ha ha
3) Wangapi kati yetu tunajua Kuwa kwenye KIINGEREZA neno (article) "the" haitamkwi "dhe" km tulivyofundishwa hadi vyuo vikuu ha ha ha ha ha. Mambo ni mengi, muda mchache.
 
Hivyo sio vitu vidogo
Pia usiseme wanasayansi hawaitaji kujua mpangilio mzuri wa sarufi jibu Ni No wanahitaji Kupata uelewa mpana.
 
Kwa wiki hii km una jambo lolote linalokusumbua la KIINGEREZA uliza ujibiwe. Kuanzia wiki ijayo nitakuwa naweka mada za KIINGEREZA zinazotamumetiza watu. usikose uhondo

Jifunze KIINGEREZA hapa.
E.g. people fail to differentiate the usage of "give and bring". They treat these lexical verbs as the same.

We shall see their difference in future time.
Kuna mwimbaji akiimba huimba kwa sauti yenye MADOIDO. natafuta neno la kingereza linalo akisi madoido katika uimbaji. Siongelei mbwembwe za posture etc. Natanguliza shukrani.
 
Tutumie KIINGEREZA kuuliza maswali na swali lijikite kwenye linguistics
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom