Kama umekuwa ukitumia gharama kubwa kwenye vifurushi pitia hapa Kuna solution kwaajili yako ( GB 1 kwa buku tu)

NyegereBOY

Senior Member
Mar 24, 2021
112
200
Wakuu naona mnahangaika na huduma za vifurushi mimi ni DIRECT SALES AGENT toka tigo. Kuna huduma nimekuwa nikiwapatia wateja wetu Muda mrefu leo acha niwapatie wadau humu mwenye uhitaji ili tuokoe gharama za vifurushi visivyokidhi mahitaji yetu ambavyo tumekuwa tukijiunga kila siku.

Tigo kuna huduma ya vifurushi vya malipo ya baada yaani ( Postpaid ) vifurushi hivi ni nafuu na rahisi kuliko vya kwenye menyu ya kawaida na nimaalumu kwaajili ya kampuni taasisi na wafanyabiashara wanaotumia mawasiliano kwa kiwango kikubwa especial kwenye calls,sms,internet wana vifurushi ya aina mbili.

1) DATA PLAN ( hapa utapewa data pekee)
2) COMBO PLAN (hapa utapata dakk,internet GBs,sms)
NOTE

Ukijiunga na vifurushi hivi tigo itakuwa ikikuingizia kifurushi kila tarehe moja ya kila mwezi nawe utalazimika kulipia kidogo kidogo au kadiri uwezavyo kabla ya mwezi kuisha

ANGALIZO
ukiwa na swali unaweza kuuliza hapa hapa usiropoke/kuongelea kitu usicho kijua ukajipa majibu wewe mwenyewe uliza nitakujibu

MAWASILIANO
kwa maelezo zaidi wasliana nami kupitia namba hiii
+255 710 186 890 WhatsApp/ Normal Call

KUMBUKA
ukishfanya malipo ya security deposit unapaswa ku forward txt ya malipo kupitia namba hizo hapo juu pamoja na viambata hivi
Nida namba
email yako
majina matatu
tin namba/leseni ya biashara
picha ya kitambulisho kati ya hivI (kura,nida,leseni ya dereva)
aina ya kifurushi ulichochagua kupitia picha niliyo attach

USIPO FANIKISHA KUTUMA HIZI TAARIFA UTASHINDWA KUPATA HUDUMA ULIOKUSUDIA KWAKUWA SECURITY DEPOSIT SIO KWAAJILI YA POST PAID BUNDLES PEKEE KUNA HUDUMA NYINGI NDANI YA TIGO BUSINESS HIVO UNAPASWA KUTUMA ILI KUJUA NI HUDUMA IPI ULIKUSUDIA
 
Attachments

  • IMG-20230614-WA0000.jpg
    IMG-20230614-WA0000.jpg
    90.5 KB · Views: 63
Wakuu naona mnahangaika na huduma za vifurushi mimi ni DIRECT SALES AGENT toka tigo. Kuna huduma nimekuwa nikiwapatia wateja wetu Muda mrefu leo acha niwapatie wadau humu mwenye uhitaji ili tuokoe gharama za vifurushi visivyokidhi mahitaji yetu ambavyo tumekuwa tukijiunga kila siku.

Tigo kuna huduma ya vifurushi vya malipo ya baada yaani ( Postpaid ) vifurushi hivi ni nafuu na rahisi kuliko vya kwenye menyu ya kawaida na nimaalumu kwaajili ya kampuni taasisi na wafanyabiashara wanaotumia mawasiliano kwa kiwango kikubwa especial kwenye calls,sms,internet wana vifurushi ya aina mbili.

1) DATA PLAN ( hapa utapewa data pekee)
2) COMBO PLAN (hapa utapata dakk,internet GBs,sms)
NOTE

Ukijiunga na vifurushi hivi tigo itakuwa ikikuingizia kifurushi kila tarehe moja ya kila mwezi nawe utalazimika kulipia kidogo kidogo au kadiri uwezavyo kabla ya mwezi kuisha

ANGALIZO
ukiwa na swali unaweza kuuliza hapa hapa usiropoke/kuongelea kitu usicho kijua ukajipa majibu wewe mwenyewe uliza nitakujibu

MAWASILIANO
kwa maelezo zaidi wasliana nami kupitia namba hiii
+255 710 186 890 WhatsApp/ Normal Call
Sisi wa Vodacom mnatusaidiaje!?
 
Masharti kuzingatiwa
 
Nikilipia leo nitasubiri hadi tarehe 1 ndio muweke kifurushi?
 
Back
Top Bottom