Mboka man
JF-Expert Member
- Aug 22, 2020
- 478
- 1,639
Wadogo zangu ambao mnaosoma huu Uzi ambao mpo katika harakati za kutafuta kazi ukiona umefika umri wa miaka 30 hujapata kazi nakushauli achana na mambo ya kutafuta kazi na anza kufanya plan b kama ni kilimo,ufugaji,biashara uanze kutengeneza maisha yako badae mapema usisubili time its too late ndo uanze
Sasa hivi mambo ya kutegemea kuajiriwa ndio uanze kutengeneza maisha yako ya badae ni sawa na kucheza mchezo wa kamali hujui kama utapata au utakosa hivyo ni bora uanze mapema kujiajiri kuliko kutegemea kuajiriwa katika haya ninayoyasema kuna watu hawawezi kunielewa lakini nawambia katika hili eneo ukizembea tuu huku mbeleni ukiwa katika age kuanzia 40 ukifikisha na hakuna jambo lolote ulilifanya katika maisha yako utaumia sana.
Kibaya zaidi ajira zenyewe zinaenda na umri kuna age ukifika unaweza ukawa na vigezo vya kuajiriwa ila umri kikwazo lakini pia hapo utakuja kushanga wale madogo waliokuwa wanakuita sister au braza wamepiga hatua na wewe uko pale pale na story zile zile kuna mchongo nausikikilizia tangu miaka hiyo madogo wako zako wako wadogo hadi wanakuwa unawapigia story zile zile kuna kazi au mchango nausikilizia
Huku ukiwapiga vibomu vya hela na usipopewa unaona kama wamekunyima unaanza kuwakunjia ngita
Ushauri wadogo zangu amkeni mapema muanze kujitafutia haya kutegemea ajira na watu wanaokujua wakusaidie yatakuja kukupa shida huku mbeleni usipokuwa kitu na hata una elimu yako utadhalilika tuu