Kama ulikuwa hauijui vizuri historia ya Colonel Muammar Gaddafi

wa stendi

JF-Expert Member
Jul 7, 2016
24,688
26,796
,
*Ngoja* *nikufahamishe* ;-
- *Gaddafi* ni mtoto wa 10 katika familia ya watoto 15,
- *Gaddafi* wazazi wake wote waliuliwa kwa vita,
- *Gaddafi* aliwahi kufukuzwa shule akiwa form 2,
- *Gaddafi* alikuwa mwanajeshi kabla ya kuwa rais,
- *Gaddafi* aliingia madarakani kwa kupindua nchi,
- *Gaddafi* ndie rai pekee duniani alieibadilisha Libya kutoka kuwa jangwa hadi kuwa green country kwa kuchimba mfereji kutoka bahari ya sham hadi katikati ya nchi na kuyabadilisha MAJI ya chumvi kuwa baridi,
- *Gaddafi* ndie rais pekee duniani aliegawa MAJI bure kwa RAIA wake,
- *Gaddafi* ndie rais pekee duniani aliegawa umeme Bure kwa RAIA wake,
- *Gaddafi* ndie rais pekee duniani aliegawa ardhi bure kwa RAIA wake,
- *Gaddafi* ndie rais pekee duniani aliekuwa anawalipia mahali wanandoa,
- *Gaddafi* ndie rais pekee duniani aliekuwa anajengea nyumba watu bure,
- *Gaddafi* ndie rais pekee duniani aliekuwa hatozi kodi kwa raia wake,
- *Gaddafi* rais pekee duniani aliekuwa analindwa na walinzi wakike pekee,
- *Gaddafi* ndie rais pekee duniani alipenda wananchi waendelee kwanza kuliko familia yake,
- *Gaddafi* ndie rais pekee duniani alieifanya nchi yake isiwe na deni popote duniani,
- Libya ndio nchi inayoongoza kwa kuwa na mafuta mengi duniani,
- *Gaddafi* ndie rais aliekuwa anapendwa zaidi Africa,
- *Gaddafi* ndie rais pekee duniani aliemuunga mkono idd amin katika vita ya kagera,
- *Gaddafi* na ndie rais pekee duniani aliempiga marufuku rais marekani asikanyage Libya,
- *Gaddafi* ndie rais pekee duniani alie semwa na marekani kuwa ameuawa kimakosa,
- *Gaddafi* ndie rais pekee duniani aliezikwa na watu wachache,
- Gaddafi ndie rais pekee pekee Africa aliejenga msikiti kila nchi,
- *Gaddafi* ndie rais pekee Africa aliekuwa na ndoto ya kuinganisha Africa.
*Huyo* *ndio* *Canal* *muammar* *Gaddafi* *simba* *wa* *Africa* .
*Neno* *moja* *kwake* ......
 
D8190386-8F61-4AD9-85F6-6C026AF98C25.jpeg
 
1. Hiyo ya kusema alipenda wananchi kuliko familia yake itabaki kua Myth tu za kutunga. Hamna kitu kama hicho.

Usisahahu ndiye raisi pekee ambaye walibya walimchoka wakawa wanataka aondoke madarakani bila kumrithisha mtoto wake kua raisi.

2. Population ya walibya ilikua mikioni 6 nchi yenye utajiri mkubwa wa mafuta na kila kitu. Hayo mambo ya maendeleo yote yaliwawezekana bila hata kutoza kodi.

3. Madai kua alipendwa Afrika ni ya kutunga, jambo moja kuhimu alifanikiwa kuhonga fedha viongozi wa nchi nyingi za kiafrika.
(Money is power) ili kujenga ushawishi.
Ushawishi wa kweli ulikuwepi enzi za akina nyerere. Watu wanakuelewa kwa hotuba nzuri zenye msisimko na kila aina ya uzalendo. Huwezi pata kitu kama hicho kwa Gadaffi.

Hata nyerere alikua na ndoto za kuiunganisha Afrika.
Na viongozi wengine Wakina Kwame nkurumah wa Ghana, Patrick Lumumba, mwanafalsafa na mwimbaji wa Raggae Robert Bob Nesta marley nk

Gadafi ndiye raisi aliekua akifadhili vikundi vingi vya ugaidi barani afrika kwa pesa yake mwenyewe. Ili avitumie kuja kua raisi wa Afrika yote. Ni baada ya kupingwa na umoja wa nchi za kiarabu kuhusu mawazo yake ya kuifanya israel na palestine kua nchi moja. Akasusa na kuondoka kwenye mkutano kwa hasira. Akaachana na ulimwengu wa kiarabu jumla.
 
Hiyo ya kusema alipenda wananchi kuliko familia yake ni hadithi za kutunga. Hamna kitu kama hicho.

Usisahahu ndiye raisi pekee ambaye walibya walimchoka wakawa wanataka aondoke madarakani bila kumrithisha mtoto wake kua raisi.

Population ya walibya ilikua mikioni 6 nchi yenye utajiri mkubwa wa mafuta na kila kitu. Hayo mambo ya maendeleo yote yaliwawezekana bila hata kutoza kodi.

Madai kua alipendwa Afrika ni ya kutunga, jambo moja kuhimu alifanikiwa kuhonga fedha viongozi wa nchi nyingi za kiafrika.
(Money is power) ili kujenga ushawishi.
Ushawishi wa kweli ulikuwepi enzi za akina nyerere. Watu wanakuelewa kwa hotuba nzuri zenye msisimko na kila aina ya uzalendo. Huwezi pata kitu kama hicho kwa Gadaffi.

Hata nyerere alikua na ndoto za kuiunganisha Afrika.
Na viongozi wengine Wakina nkurumah, Lumumba, Bob marley nk

Gadafi ndiye raisi aliekua akifadhili vikundi vingi vya ugaidi afrika kwa pesa yake mwenyewe. Ili avitumie kuja kua raisi wa Afrika yote.
Sasa kama walikuwa hawampendi mbona sasa wanajutia ona kinachowatokea saa hivi ile nchi haikaliki
 
Sasa kama walikuwa hawampendi mbona sasa wanajutia ona kinachowatokea saa hivi ile nchi haikaliki
Nani kakwambia wanajutia.?

Wametoa tamko wapi na lini?.

Yaani jeshi lake limsaliti liungane na wananchi kutaka kumpindua leo useme alikua anapendwa?

You gotta be kiddin..!!

Benefits zote hizo walipata lakini bado walibya hawakutaka. Walimchoka na drama zake
 
Back
Top Bottom