Kama uko above 30 huna mke/mume wala mtoto we ni masikini tu

Kwa kiafrica watoto wanahesabiwa ni mali,sababu ndio wanaowalea uzeeni ila kwa wazungu ukizaa usidhanie ndio guarantee watoto watakulea uzeeni,sababu a little misunderstanding mtoto anakukana na humuoni kamwe!.....ingekuwa nchi yetu ni developed watu wana financial security,hata uzeeni state inaweza kuprovide pension watu wasingehangaika sana na watoto....hilo la mke ni stage number moja....kinachotakiwa hapo ni watoto,watu wanazunguka mbuyu ..... 

kwa hiyo hawa wanaojifanya kutoona haja ya mume/mke/watoto wanajifanya wazungu na ni umbumbu na ulimbukeni wa fikra.....pamoja na wazungu kuwa hivyo wapo wengi na wengine nimefanya nao kazi wakiwa wazee walikuwa wanasikitika kutojali kutengeneza familia walipokuwa vijana.

tatizo sisi waafrica tunapenda ulimbukeni hasa kwa kuangalia sinema za holywood tukidhani kuwa ndiyo maisha halisi ya wazungu.
 
Watu kubao wapo 30s bado tegemezi. wanakula kwa baba na kulala kwa baba,nguvu ya kuoa au kuzaa wanaitoa wapi wakati ajira zenyewe kizungumkuti.
sio kama watu hawapendi kuwa na familia zao mapema. tatizo majukumu kaka.

uvivu tu na ukwepaji wa majuku ndio umewaandama... Ukiangalia vijana wengi wanapenda kuishi maisha ya kitamthiliya. Mtu hana kazi, hana mishe yoyote mjini lakn bado anang'ang'ania kuishi dsm ili nayeye aonekane yupo mjin... Twenden mikoan hadi vijijin hela zipo huko
 
Maisha yalivyo magumu hivi watu wakimbilie kuoa, hiyo ndoa si itakuwa full migogoro. Hapana wakaka mjipange kwanza hakuna mdada anataka shida miaka hii.

mkuu maisha ni magumu na yatakuwa magumu mpaka siku unaenda kaburini,, hebu nikuulize kama ww ni mfanya kazi au mfanya biashara, je kuna siku au mwezi ambao ulipata hela na ikawa haina kazi? Yaan ipo ipo tu haipo kwenye matumizi?
 
Unaweza ukajipanga hadi unafika 40s bado unajipanga. Dunia yenyewe hii, maisha yenyewe haya, ukifika 40 huna familia...mmmh!

kweli kabisa mkuu! Na mtu unapokuwa huna majukumu matumizi ya pesa yanakuwa hovyo sana lakn mtu ukishakuwa na mke na mtoto itakulazmu upange bajeti inayoeleweka...

Tatzo watu wanataka benk awe na m 50 huku ndan kukiwa na m10 na kwenye wallet kuna m3 hapo ndio anafikiria kuwa anaweza kuwa na familia. Lakn wanashindwa kujua kuwa hata kama kipato chako kwa mwezi ni laki 2 unaweza kutunza familia. Kama bodaboda, konda na mamantilie wanafamilia na wanasomesha watoto wao lakn mwanaume mzma kijana mwenye nguvu unalalama eti maisha magumu kweli?
 
mkuu maisha ni magumu na yatakuwa magumu mpaka siku unaenda kaburini,, hebu nikuulize kama ww ni mfanya kazi au mfanya biashara, je kuna siku au mwezi ambao ulipata hela na ikawa haina kazi? Yaan ipo ipo tu haipo kwenye matumizi?

Ugumu wa maisha upo ila sio jambo la kukurupuka kuvamia maisha, kujipanga ni jambo la muhimu, habari ya kuoa wakati kila siku unashinda kwa wazazi wako kudoea chakula sio vizuri. hakuna maisha makamilifu ila kujipanga ni muhimu mmnyani ghwangu.
 
Kwa hiyo matatizo yangu yakufirikia yamekuathiri nini wewe hadi ukurupuke huko kuja kunitolea povu. naomba ustarabu ushike nafasi yake tafadhali.

Ukishaambiwa una matatizo ya kufikiri manaake huna jipya na la maana kujadiliana na watu/mtu, na kweli usingekuwa na matatizo ya kufikiri ungefikiri kwamba umeshaambiwa una matatizo ya kufikiri na hivyo usingeongeza neno hapa bali kwenda kujifunza kufikiri. (Sitakujibu tena)
 
Bila shaka hauko sawa, Ebu kwenda hukooooo, pfyuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu
 
Ugumu wa maisha upo ila sio jambo la kukurupuka kuvamia maisha, kujipanga ni jambo la muhimu, habari ya kuoa wakati kila siku unashinda kwa wazazi wako kudoea chakula sio vizuri. hakuna maisha makamilifu ila kujipanga ni muhimu mmnyani ghwangu.

hahahaaa!!! Mkuu uoga wetu ndio unatuponza... Hivi unakumbuka zaman kwetu kule kijijin mtoto wa kiume ukifikia miaka kama 10 ulikuwa unalazimika kujenga kakibanda kako pemben na sio kulala kwenye nyumba ya baba na mama? Hivi hako ka mfumo ulielewa maana yake?
 
Yaani umenikumbusha mbali, nilikaelewa vizuri sana lakini pia wakati kijana ukitolewa nje kuishi ulikuwa na kishamba chako cha kulima hahahahaa ndio maana zamani vijana walikuwa sio wazembe, bila shaka mkuu wewe haka kamfumo umesimuliwa tu, mimi nimekashuhudia kabisa wakati nakua.
 
vijana wazamani walikuwa sio wazembe ila walipewa stadi za maisha na wazazi wao,nadhani wazazi wa siku hizi kuna mahali wanakosea kuwaandaa watoto wao ususani wa kiume kupambana ,mjini hakuna mashamba ila shamba la mjini ni mipango kichwani,mjini kuna fursa nyingi zaidi ya kijijini,biashara,michezo,sanaa,vibarua,elimu nk
 
Vijana wa zamani ambao ndio wazee wa siku hizi wao wanajua kulipa ada huku wakiamini mtoto akimaliza shule ataajiriwa atakuwa boss sehemu fulani basiiiiiiiiii, kwa kweli niwazazi wachache sana wanaoweza kumuanda mtoto katika kujiajiri.
 
MO11

Achani uoga kwa ni wewe unakula mawe,atakula utakachokula,mtoto anakupa changamoto ya kuchakalika kutafuta maisha ukiwa nae hata zege utabeba ili asilale njaa,nenda zanzibar uone maajabu watu wana mika 18 wanaoa na hawalali njaa,ni mambo ya pilau ,biriani kwenda mbele ,wewe msela unashindia mihogo.acha uoga ndugu
Hapo umeongea point maana kwa misukosuko tuliyopitia kwa wazazi mara unakwenda shule unarudishwa ada mara ndani msosi umeisha hasa ukizingatia those years unga ulikuwa unanunua mahindi debe unakwenda kusaga tofauti na sasa, lakini mzazi alikuwa anakomaa kiubishi na mnakula na hata kama kodi ya nyumba mtu huna lakin bado hulali nje. kwahiyo watu wasiogope wafanye mambo though kuna wachache sana wapo above 30 sio kama wamependa inatokea tu kila anaekuwa nae na kum-identify kama wake wa kufa na kuzikana anazingua mwisho wa siku wanatemena na suala la kuchagua mwenzi si la umemwacha leo alafu kesho unabandika mwingine ila wengi ni hofu ndio maana huwa nashangaa watu wanabanduana alafu ukiwauliza ndoa lini wanakuambia tunasomana wakati wameshadumu 3 years
 
Back
Top Bottom