Kama tumekubaliana kuwa wamoja kimataifa, sasa kwanini tumeanza kurogana wenyewe kwa wenyewe?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,689
109,116
Marafiki zangu Wakubwa akina Bhinda na Kampira wa Yanga SC tusije tu Kulaumiana Weekend hii.

Kesho Jumatano tarehe 27 Machi, 2024 ni BIRTHDAY yangu GENTAMYCINE hivyo natoka huku Makao Mapinga Wilayani Bagamoyo Mkoani Pwani kuja huko Dar es Salaam kwa KAZI MAALUM juu ya Simba SC yangu.

Na ninaongozana na MTU MAALUM wa KAZI MAALUM kuuwahi Ufunguo wa Uwanja wa Mkapa ambao Kesho Simba SC inakabidhiwa kwa Maandalizi ya Mechi na MIKAKATI yote ya Ndani na Nje ya Uwanja.

Hivyo kwakuwa Marafiki zangu akina Bhinda na Kampira kwa Kumtumia huyo Mtaalam wenu wa Mtwara na Mafia wa TANO TANO ( ambazo hata Mimi NILIZIKOGA vile vile hadi KUCHANGANYIKIWA nazo mwaka jana ) mmeamua KUUSALITI ule UMOJA WETU na kuwa WANAFIKI na Kutuumiza Kimya Kimya Simba SC na Sisi sosa Kesho tunaenda KUMALIZA letu na MWARABU kisha tunaenda KUHARIBU lenu na MZULU akina MASANDAWANA na tusije Kulaumiana tukikutana hapo Nje Minazini Baa au Kwa Chichi Uwanha wa Uhuru na Benjamin Mkapa.

Mpaka sasa MWARABU Kafa 6 kwa 1.
 
Endeleeni Kuamini Mnalongwa ila Ukweli ni Mnatetemeka Sana Kama Jenereta Linalokwisha Mafuta...!! Subirini Waarabu Waje na Mapipa Yao Wakukandeni Mbili Swafiii

Tena Kolozidad Nawashauri Siku Hio Msifunge Saum & Kwaresma Unless Otherwise Mtafwarikiii Kwa Pressure National Al Ahly Atawasuprise Vibaya Mno
 
Mganga wa bagamoyo anaepiga kazi na hedhi nae haweki utaalam
Wiki hii hayuko Period hivyo Jukumu la Kufa Mamelodi Sundowns FC kaachiwa Jamaa wa Mtwara na Mafia ambaye pia hutumiwa sana na Mawaziri wenu muhimu Watatu, Chief wenu wa Kisukuma na Kiunguja na Mzungu Pori wenu anayeoa na kuacha baada ya Kugongewa na Matajjri wake wanaomuweka Mjini kule Kwake Masaki Slip Way walikompangia.
 
Uchawi ungekuwa unacheza Sumbawanga wasingekosa timu ligi kuu.
Dr Matola PhD sijawahi kukuona Mpole na Kutia Huruma hivi kila Yanga SC ikikaribia Mechi yake ya Kimataifa hivyo hii ni dalili tosha kuwa Masandawana wanakuja kuchukua zote Tanzania na kuzimalizia zote muhimu Kwao.
 
Wiki hii hayuko Period hivyo Jukumu la Kufa Mamelodi Sundowns FC kaachiwa Jamaa wa Mtwara na Mafia ambaye pia hutumiwa sana na Mawaziri wenu muhimu Watatu, Chief wenu wa Kisukuma na Kiunguja na Mzungu Pori wenu anayeoa na kuacha baada ya Kugongewa na Matajjri wake wanaomuweka Mjini kule Kwake Masaki Slip Way walikompangia.
Wahuni wameshasoma code zake huyo hamna kitu,,Yanga ana hali ngumu, sijajua kwa simba........na wakijiroga kwenda na makafara yao ya binadamu maturubai yanarudi kwao
 
Ndio kusema yale majini ya Jangwani yalishateketezwa na Azam, hayana nguvu tena. Mamelod wanakuja kujipigia tu
 
Marafiki zangu Wakubwa akina Bhinda na Kampira wa Yanga SC tusije tu Kulaumiana Weekend hii.

Kesho Jumatano tarehe 27 Machi, 2024 ni BIRTHDAY yangu GENTAMYCINE hivyo natoka huku Makao Mapinga Wilayani Bagamoyo Mkoani Pwani kuja huko Dar es Salaam kwa KAZI MAALUM juu ya Simba SC yangu.

Na ninaongozana na MTU MAALUM wa KAZI MAALUM kuuwahi Ufunguo wa Uwanja wa Mkapa ambao Kesho Simba SC inakabidhiwa kwa Maandalizi ya Mechi na MIKAKATI yote ya Ndani na Nje ya Uwanja.

Hivyo kwakuwa Marafiki zangu akina Bhinda na Kampira kwa Kumtumia huyo Mtaalam wenu wa Mtwara na Mafia wa TANO TANO ( ambazo hata Mimi NILIZIKOGA vile vile hadi KUCHANGANYIKIWA nazo mwaka jana ) mmeamua KUUSALITI ule UMOJA WETU na kuwa WANAFIKI na Kutuumiza Kimya Kimya Simba SC na Sisi sosa Kesho tunaenda KUMALIZA letu na MWARABU kisha tunaenda KUHARIBU lenu na MZULU akina MASANDAWANA na tusije Kulaumiana tukikutana hapo Nje Minazini Baa au Kwa Chichi Uwanha wa Uhuru na Benjamin Mkapa.

Mpaka sasa MWARABU Kafa 6 kwa 1.
hata mroge vipi simba mtafungwa
 
Aaahaaa
 
Endeleeni Kuamini Mnalongwa ila Ukweli ni Mnatetemeka Sana Kama Jenereta Linalokwisha Mafuta...!! Subirini Waarabu Waje na Mapipa Yao Wakukandeni Mbili Swafiii

Tena Kolozidad Nawashauri Siku Hio Msifunge Saum & Kwaresma Unless Otherwise Mtafwarikiii Kwa Pressure National Al Ahly Atawasuprise Vibaya Mno
Hujui hata unaongea nini.
 
Back
Top Bottom