Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 37,936
- 46,690
Umejuaje Odinga ameshinda huu uchaguzi??
Namsikia mangi mmoja akisema.. ' itachukua miaka elfu moja tanzani kufikia demokrasia ya kenya'. Na muuliza lakini kenya wanauana kila uchaguzi. Uchaguzi nne odinga anashinda anadhulumiwa. Hilo nalo ni demokrasia bora?' Jamaa anatoa macho anasema. 'Mbona hapa freeman anashinda kila uchaguzi anaibiwa?'