Njowepo
JF-Expert Member
- Feb 26, 2008
- 9,710
- 2,226
Usichanganye mada Kiwila ilisha simama kuzalisha makaa ya mawe kwa zaidi ya miaka sita sasa.Mbeya cement kwa sasa anatumia makaa ya Ngaka ila hupitia kiwila port labda ndo unapochanganya apoMimi ninachojua pia natoa mfano usafirishaji wa haya makaa ya mawe ndio tatizo kubwa! Usafirishaji iwa njia ya barabara kuna usumbufu mkubwa! Hadi sasa huko nganga wanakosema sikujui ila kwa kusafirisha makaa kutoka kiwira au mchuchuma mimi naona ni mbali na gharama itakuwa kubwa! Pia kama ndio hivyo mbona mbeya cement hawatumii hayo makaa ya kiwira!? Kwa nini tu dangote??