iparamasa
JF-Expert Member
- Nov 14, 2013
- 13,438
- 14,916
kadri siku zinavyoenda siri zinafichuka,kumbe makaa ya mawe ambayo tumekuwa tukijisifia nayo hayana ubora wa kufaa kutumika.
Dangote kayakataa,ndio maana nilikuwa najiuliza,dunia ilivyo na shida ya nishati kweli mgodi wa makaa ya mawe ungekaa miaka yote hiyo bila uwekezaji?hata mkoloni hakuyahitaji?
Hii ni sawa na chuma cha liganga,je nacho kina ubora?dunia ilivyo na shida na madini ya chuma kweli liganga ingekosa mwekezaji ?
naanza kupata wasiwasi na ubora wa chuma cha liganga pia,
na inawezekana kama taifa tunajisifia vitu viiingi kwamba tunavyo,kumbe mapumba tu