Kama siasa zingeruhusiwa,wabunge na madiwani wangehama kweli?

kalamu ya chuma

JF-Expert Member
Jan 22, 2014
214
62
kuna mtu alikuwa ananiuliza kwa haraka haraka jana na ikanifikirisha sana,eti kweli kama siasa na makongamano yake ukiachilia mbali 'amshaamsha' kama ilivyokuwa enzi za Mh Kikwete hivi hawa wanaohama sasa wangeendelea na kuhama na kujisifu saana kama ilivyo sasa? kama hamuamini zilruhusiwe muone haami mtu hapo hahaha ninawaza tuu
 
Back
Top Bottom