Kama Serikali ya Tanzania haina dini, Mungu anayetajwa katika wimbo wa taifa ni yupi?

Kenya launches Islamic studies curriculum in madrasas

A new curriculum being piloted in religious schools in Kenya aims to streamline Islamic studies and ensure extremist teachings are not propagated in madrasas.

The development of the new curriculum was a joint effort spearheaded by al-Muntada al-Islami Trust, an international charity organisation based in the United Kingdom, in partnership with the Council of Muslim Scholars in Kenya, the Supreme Council of Kenya Muslims and representatives from the Kenya Institute of Curriculum Development (KICD).

Failure to have a unified Islamic studies curriculum in madrasas has left gaps that fiery clerics have been exploiting to radicalise youths , said Sheikh Abdilatif Abdulkarim, an executive board member with al-Mutanda al-Islami Trust in Nairobi.

"We think this is one way of dealing with extremism," he told Sabahi. "With the curriculum we will be able to commit the teachers of these madrasas to delivering content that is relevant to the children, and it will be easier to hold accountable those who defy the rules through evaluations."

The curriculum, which took three years to develop, will also include lessons on the values of tolerance and the importance of nationhood, he said.

"Apart from embracing Islam, we need these children to remain patriotic to their nation and love other citizens irrespective of their faiths when they grow up," he said. "It is only through education that they can acquire those skills, which is the reason we have incorporated [those lessons] in the curriculum. That will make it hard for them to fall prey to criminal elements like terrorists."

The 90-day pilot programme was rolled out February 6th in schools in Mombasa, Nairobi and Garissa that are participating voluntarily, Abdulkarim said, adding that they hope to adopt the curriculum nationwide by January 2015.

Lawyer Ibrahim Lethome , who helped write the new curriculum and is now working to implement it, told Sabahi there was an urgent need to unify and standardise Islamic studies in independent religious schools since the Kenyan Ministry of Education formally recognised them.

"We have had a vacuum in this area, and therefore this curriculum is a step towards filling that vacuum and having these institutions respond to our teaching needs," said Lethome, an expert on sharia law and member of the Jamia Mosque Committee based in Nairobi.

"What we are doing now is testing the programme through the pilot project," he said. "In the spirit of public participation, during this period we will be able to get the opinions of parents and other stakeholders on what the curriculum should look like."

Promoting understanding Before the curriculum is approved for use nationwide, the pilot programme will be evaluated and subject to modifications, said Abdi Kheir, a programme officer for KICD, the government entity in charge of evaluating and approving curricula for Kenyan schools below university level.

"All in all, this is a big leap in the right direction and it will definitely turn around how Islamic studies are taught in the country," he told Sabahi.

Having a known and approved curriculum will help eliminate undue suspicion from the general public concerned with what goes on in informal schools, he said. "This will help promote understanding and appreciation." During the pilot evaluation, KICD will continue to provide technical assistance, he said. Once the final curriculum is approved, madrasas will be required to adopt it as a precondition to receiving a license to operate.

For his part, Sheikh Abu Hamzah, imam of Mosque Huda in Mombasa, praised the curriculum saying it is bringing uniformity in content delivery and will help communities develop common religious approaches to solving problems. The new curriculum also provides guidelines for educators on teaching techniques, said Hamzah, whose school is participating in the pilot.

"It has detailed teaching practices for us educators, ranging from how to arrange [lessons], and plan daily teaching routines and curriculum content for every age group, which means we will be systematic in our approaches, and thus avoid wasting time," he told Sabahi.

Kenya launches Islamic studies curriculum in madrasas - Sabahionline.com
SOURCE: matumbomatumbo
 
Ivi Mungu ana dini? Kama anayo hebu iweke wazi.

Hivi kuna uwezekano watu wanamuamini Mungu kupitia Uislam/Ukristo wakati Mungu mwenyewe hayupo wala haujui huo Uislamu/Ukristo??

Ngoja niendelee kusikiliza kwanza hapa!!
 
Serikali ya Tanzania haina dini, tunapoimba wimbo wa taifa tunamtaja Mungu yupi? Inanipa shida sana kuelewa kwenye hii issue. Tafadhari kama kuna mtu anaelewa the reason behind.

And Why they use the Bible and The Holy Qur'an to swear their leaders to declare allegiance to the constitution? They should use the constituion as an oath instrument because the breach of constitution leads to treason.
 
zipo nchi za kikristo lakini ni chache. ni hapa Scandinavia. lakini maarufu zaidi ni Vatican ambayo inaitwa theocracy kama ilivyo Iran. Nchi ambayo ni ya kidini kabisa kabisa inaitwa theocracy. Upande wa ukristo maarufu ni Vatican City State, na upande wa Uislamu zipo kadhaa lakini maarufu Iran. Red inahusika hapo.

The Queen of England has one title, The Defender of The Faith. What Faith?
 
Jamani mbona iko waz serikali haina DINI kwani hata mungu Hana dini mitume wote hata Bwana yesu Hanaga DINI wote walikuwa Walimu Na Ni Walimu Wa UPENDO walichohubiri Na kufundisha Ni juu ya UPENDO.

Hata Buddha alifundsha UPENDO.Na Paulo akatia msumari kuwa Kama ww Ni mdinii basi DINI iliyobora Ni kwenda kuwataka Hali maskin,mayatima Na wajane ktk DHIKI zao. Hata serkali wanamtaja mungu Wa aman'upendo Na usalama.Wabunge wanatumia misahafu Na bible kutokana Na Imani zao. Alamsiki.
 
haina dini kwa maana haifungamani na dini yoyote,,,nadhani dini zote zinaamini uwepo wa Mungu wao,,,tunapomtaja Mungu ni yule anayeaminiwa ni dini zote.
 
Soma hadi mwisho uone kama una swali uniulize...

Mungu anayetajwa katika wimbo wa Taifa na pale katika sara za Bungeni ni Mungu wetu wa Pamoja. Nina hakika wewe unajua kwamba sisi binadamu tunaye Mungu wa Pamoja?

Mungu wa Pamoja ndiye yupi huyu? Mungu wa Pamoja ndiye yule ambaye dini zoooote zinamtaja kuwa aliumba ulimwengu. Huyu ndiye Mungu wa pamoja. Ujue dini zetu wanadamu zimeletwa na tafsiri tofauti-tofauti za huyu Mungu wa Pamoja.

Waoabudu mizimu, wanamwomba Mungu kwa njia ya roho za babu zao. Yaani daraja lao kumfikia Mungu ni roho za mababu.
Wanaomwabudu Mohammad wanamwomba Mungu kwa njia ya roho ya Muhammad (ambaye kwa kweli naye ni Mzimu tu kama ile mizimu ya mababu)

Wanaomwabudu Yesu Kristo wanamwomba Mungu kwa njiya ya roho ya Yesu Kristo (ambaye naye ni Mzimu tu kama ileile mizimu ya mababu zetu)

Freemason wanamwamba Mungu kupitia kwa Mtume wao Hiram Abith (nadhani ni Hiram Abith huyu; jina limenitoka kidogo kwa sabu mi si freemaon), naye huyu ni Mzimu tu kama ile mizimu mingine ya mababu, ambayo tunaitumia kama ngazi ya kumfikia Mungu--kila mtu akiwa na mzimu wake anayemwamini zaidi. Wengine Muhammad, Wengine Yesu, Wengine Hiram Abith, wengine babu aliyekufa 1945, na kadhalika na kadhalika.

Kwa hiyo ukiangalia vizuri unakuta wanadamu tunaunganishwa na Mungu wa Pamoja, ambaye tunadhani atatusikia vizuri wakati tukimwomba huruma na misaada kama tukimwoba kupitia kwa mizimu--kil mtu na mzimu wake anayemwamini zaidi.

Sasa nije kwenye Serikali. Serikali inakusanya watu hawa wote na mizimu yao yote hiyo. Ili kuleta Umoja na Mshikamano, Serikali inalazimika kutokufungamana na mzimu hata mmoja katika huo utitiri wa mizimu. Lakini inajua Mungu yupo. Hiyo Dawa imekuwa kumtaja tu huyo Mungu moja kwa Moja kwa sababu ni wa kila mmoja wetu.

Serikali inamtaja huyu Mungu wetu wa pamoja bila mizimu ili kujenga mshikamani wa kitaifa. Lakini kwa kutoa idhini hiyo mizimu kila mmoja wetu akaitaje kwenye nyumba yake ya ibada. Kwa hiyo anayetajwa katika Wimbo wa Taifa ni huyu Mungu wa Pamoja.

Una swali?
Highlander,

Dont act stupid while you know what you are talking about. No man worship another man. All people worship one God. And there is nor intersection between God and his creation. The government should not fool her people by using that statement that it is secular while in reality it leans on on faith and uses the symbols of faiths to conduct it affairs.

It should use the Constitution book for the the oaths of any leader or MP for declaration of allegiance to the state and protecting the constitution. And it should use the same Constituion book to replace the replica of the Queen of England symbol, The Spectre (Rungu) inside the Bunge.
 
Last edited by a moderator:
Aliesema serikali hii haina dini ni yule muasisi wa mfuko kristo Nyerere.

Anafungua makanisa usiku na mchana na kuwagawia wagalatia wenzake nafasi kubwa serikalini, akija jukwaani na kile kibalagashia chake cha kinafiki anadanganya watu kuwa serikali haina dini.

Mnfnssssssssssss!
 
nitajaribu kufanya additional fact finding kuhusu mataifa haya ya Scandivania kama unavoshauri. Lakini nimewahi kusikia hata kama hawajatangaza rasmi kuwa mataifa ya Kikristo katiba zao zinaulinda Ukristo. Kwa lugha nyingine mila na desturi zao za zamani zimeweka katika katiba zao mambo ambayo yanalazimisha katiba hizo kuulinda Ukristo hata kama hilo la kuwa mataifa ya Kikristo halijatamkwa rasmi. Ni kama hali iliyopo Zanzibar. Katiba haijatamka kuwa Zanzibar ni nchi ya Kiislamu explicitly,lakini mila na desturi ya pale inalazimisha hivyo, na pengine vionjo ya kulinda mila hiyo vitakuwepo katika katiba yao au sheria ndogondogo za kuendesha visiwa hivyo. Hii ndo maana kule wana Masheha wakati hao hawapo bara.

Nadhani hoja iliyopo hapo Sweden na mataifa jirani ya Kidutch ipo hivyo. Anyway nitafanya additional fact finding kuthibitisha hili kama unavyoshauri.

Sasa kuhusu Vatican, ninachojua mimi ni kwamba hii ni City State. Wanayo ardhi na watu. Kwa hiyo ni kama taifa tu. Sasa nikuulize swali: OIC inayo ardhi? Hiyo ardhi ya OIC ipo wapi? Unawezaje kumpa mtu status ya Kibalozi hana Ardhi? Naomba nijibu hilo kwanza ndo tujue tunakwenda vipi kuanzia hapo.

ukitaka kitu cha kulinganisha na Vatican ni Iran. Zote ni theocracy. Wana ardhi, wana watu, na wametangaza wao ni mataifa ya kidini na kuchagua dini wanayoitaka. Si sahihi kulinganisha Vatican na OIC.

All the countries you mentioned here as defenders of Christianity are in reality Christian countries and if you look one common thing they have is in their national flags they all contain crosses either in this form [+] or in this form [x]. And in the UK for instance one of the most important title of the Queen is "Defender of the faith (Christianity)" even her son Prince Charles noted the unfairness of that, he went further by saying that when he will become King he will change that to be "Defender of Faiths (All Faiths)".

As for the Vatican it is not a city is a country an autonomous state like Andora, and Luxembourgh.
Where have you seen a city having a diplomatic embassy? And that is even more different from Andora and Luxembourgh.

Compare OIC with NAM, Arab League, ECOWAS, SADC.

Now for instance do not compare OIC to CMFI or Christian Missionary Fellowship International which is a non-denominational, non-profit, Christian organization that sends out missionaries across the globe. Based out of Indianapolis USA, CMFI has missionaries in more than 17 countries including the US.

The purpose of CMFI is to train and send vocational and bi-vocational missions workers to evangelize in non-converted areas. While OIC has a different dimension otherwise Uganda and Mozambique would not have been members of OIC.
 
Aliesema serikali hii haina dini ni yule muasisi wa mfuko kristo Nyerere.

Anafungua makanisa usiku na mchana na kuwagawia wagalatia wenzake nafasi kubwa serikalini, akija jukwaani na kile kibalagashia chake cha kinafiki anadanganya watu kuwa serikali haina dini.

Mnfnssssssssssss!

Bila huyo mgalatia mnayemtukana kila kukicha waislam wengi wasingesoma. Alitaifisha mashule ya wa missionaries ili na nyinyi mwende shule. Muulize Kikwete, bila shule za wagalatia asingekuwa hapo alipo.

Ujue kazi inategemea na elimu yako, na iwe ya darasani sio ya madras.
Shida kubwa ya Jamii ya Waislam, Hamna mwamko wa elimu na wale waliobahatika kusoma, nashangaa kwanini hawaendi kuwahamasisha wenzao waende shule?

Na kwanini msiwe na campaign ya kila msikiti ujenge angalau shule ya msingi au Veta? Jaribuni kuwa positive sio kila siku nyie ni watu wa chuki na kuonewa. Viongozi wa nchi ni wa imani yenu bado tu mnalalamika.
 
Bila huyo mgalatia mnayemtukana kila kukicha waislam wengi wasingesoma. Alitaifisha mashule ya wa missionaries ili na nyinyi mwende shule. Muulize Kikwete, bila shule za wagalatia asingekuwa hapo alipo.
Ujue kazi inategemea na elimu yako, na iwe ya darasani sio ya madras.
Shida kubwa ya Jamii ya Waislam, Hamna mwamko wa elimu na wale waliobahatika kusoma, nashangaa kwanini hawaendi kuwahamasisha wenzao waende shule? Na kwanini msiwe na campaign ya kila msikiti ujenge angalau shule ya msingi au Veta? Jaribuni kuwa positive sio kila siku nyie ni watu wa chuki na kuonewa. Viongozi wa nchi ni wa imani yenu bado tu mnalalamika.

Mkuu, huyo nyerere waliomfundisha kuvaa suruali.ni waislamu.

Matatizo yenu nyie mnakariri zile stori zake za danganya toto!

Huyo muasisi wa mfumo kristo wakati anakaribishwa kwenye chama cha TAA alikuja na kaptula ya kaki fupi sana!

Wazee wetu wakamfundisha ustaarabu pole pole.
Eti asante yake ni kuvaa ile kofia ya kiislamu huku anawanyonga mmoja mmoja.

Mbaya sana yule maluuni.
 
Serikali ya Tanzania haina dini, tunapoimba wimbo wa taifa tunamtaja Mungu yupi? Inanipa shida sana kuelewa kwenye hii issue. Tafadhari kama kuna mtu anaelewa the reason behind.

Mkuu,hiyo ni nyimbo ya taifa na si ya serikali

Taifa ni watu na asilimia kubwa ya watu wa Tanzania wana monoethestic religion.Sioni shida hapo kutaja hilo jina

Wangetokeza atheists na wenye dini za jadi kulalamika ingeleta maana zaidi ila sio hao misukule ya dini za kigeni
 
Highlander,

Dont act stupid while you know what you are talking about. No man worship another man. All people worship one God. And there is nor intersection between God and his creation. The government should not fool her people by using that statement that it is secular while in reality it leans on on faith and uses the symbols of faiths to conduct it affairs.

It should use the Constitution book for the the oaths of any leader or MP for declaration of allegiance to the state and protecting the constitution. And it should use the same Constituion book to replace the replica of the Queen of England symbol, The Spectre (Rungu) inside the Bunge.

hey hey hey eeeeeeeasy. easy now! this is tanzania. don't bring your temple disputes here. we are not in maharashtra!
the government simply acknowledges the existence of acceptable, permitted faiths in the country by allowing the believers of those faiths to use their books in oaths. no one will force you to use a book you don't like. that has to do with individual freedoms. the rungu thing in parliament might have an issue to talk about, but i know for certain it does not interfere with individual freedoms.
 
All the countries you mentioned here as defenders of Christianity are in reality Christian countries and if you look one common thing they have is in their national flags they all contain crosses either in this form [+] or in this form [x]. And in the UK for instance one of the most important title of the Queen is "Defender of the faith (Christianity)" even her son Prince Charles noted the unfairness of that, he went further by saying that when he will become King he will change that to be "Defender of Faiths (All Faiths)".

As for the Vatican it is not a city is a country an autonomous state like Andora, and Luxembourgh.
Where have you seen a city having a diplomatic embassy? And that is even more different from Andora and Luxembourgh.

Compare OIC with NAM, Arab League, ECOWAS, SADC.

Now for instance do not compare OIC to CMFI or Christian Missionary Fellowship International which is a non-denominational, non-profit, Christian organization that sends out missionaries across the globe. Based out of Indianapolis USA, CMFI has missionaries in more than 17 countries including the US. The purpose of CMFI is to train and send vocational and bi-vocational missions workers to evangelize in non-converted areas. While OIC has a different dimension otherwise Uganda and Mozambique would not have been members of OIC.

mh....no comment.
 
serikali ya Tanzania haina Dini. Hii ni kweli na sahihi kabisa.
Nani amewahi iona "serikali ya Tanzania" ikimwomba Mungu ama kwenda kwenye nyumba ya ibada? no body. Wanaosema Mungu ibariki Tanzania ,ni watu wanaoitumikia "serikali ya Tanzania". Kwani "serikali ya Tanzania" inawawezesha wapate mkate wao wa Kila siku (i.e RIZiKI) .

Hawa Watu wanaomba Mungu aibariki "Serikali Ya Tanzania" wakiwemo.. Rais, mawaziri, wabunge, wafanyakazi, na wananchi wachache... kwani bila uwepo wa hii serikali wasingepata rizki zao za kila siku. na ndio wasiotaka Muungano uvunjike kwani ukivunjika serikali ya Tanzania haitakuwepo na wanaweza wasinufaike na serikali ijayo.
 
serikali ya Tanzania haina Dini. Hii ni kweli na sahihi kabisa.
Nani amewahi iona "serikali ya Tanzania" ikimwomba Mungu ama kwenda kwenye nyumba ya ibada? no body. Wanaosema Mungu ibariki Tanzania ,ni watu wanaoitumikia "serikali ya Tanzania". Kwani "serikali ya Tanzania" inawawezesha wapate mkate wao wa Kila siku (i.e RIZiKI) . Hawa Watu wanaomba Mungu aibariki "Serikali Ya Tanzania" wakiwemo.. Rais, mawaziri, wabunge, wafanyakazi, na wananchi wachache... kwani bila uwepo wa hii serikali wasingepata rizki zao za kila siku. na ndio wasiotaka Muungano uvunjike kwani ukivunjika serikali ya Tanzania haitakuwepo na wanaweza wasinufaike na serikali ijayo.

Nilitaka kujibu... Comment yako imemaliza kila kitu.
 
That is like saying an naked Emperor pendeza with those clothes he had put on.

Mwalimu always used to say "Serikali ni watu" he was refering Serikali like a living body that has responsibility and accountability, so Serikali is not a robot that employs people under its servitude.

Your argument is irrelevant here.
 
Back
Top Bottom