Kama ningeyajua haya nisingeitoa mimba yangu ya karibu miezi minne

Mkuu wangu njia za kuzuia ujuzito zipo nyingi na zinajulikan na asilimi kubwa ya wanawake.Mimi njiA niliyochGuA ni kutojihusisha kabisa na masualA ya ngono hadi ndoa.ila hapa suala ni kuwa kutoa mimba ni uuaji hivyo hAta Leo hii nikibakwa nikapata ujauzito ambao kwa kweli utavuruga mipango mingi ya maish yangu sitaweza kuwa mkatili kiasi Cha kukatisha uhai wa huyo mtoto,nitampenda na kuilea hiyo mimba kwa furah

Kwani mpaka leo watu wanabakana? Nilikuwa nafikiri habari ya kubaka is the thing of the past in the mind of young people,lol! Siku hizi mambo ni papo kwa papo!
 
NdahAni piA na roho ya ukatili inachangia,Huyu dada huwa namuangAliA hAta Imani naye sina tenA.

Kutukana ni dhambi na kuuA ni dhAmbi na zote ni machukizo mbele za mungu ila Mimi naweza kunywa maji nlopewa na alotukAnA ilA ya muuaji sitaweza kuyanywA nitahisi yanAnuka damu.

We nawe sasa umezidisha unajifanya mtakatifu sana, na kwanini unamuhukumu binadamu mwenzio?

Mwenyezi mungu ndio anaejua zaidi vp atamuhukumu kwa kosa hilo....
well said
 
kwanini unakataa ushauri wa queenkami maana ikitokea mtoto wako amekuja na tatizo utafanyaje maana hata ukimpiga tayari watu wamemchakachua

Sijakataa ushauri wa Queen Kami hata chembe. Nakataa tu kuwa mimba ya siku moja tayari ni binaadamu. Ni uhai, lakini si binaadamu

Maana kama ni hivyo, ua la muembe likituliwa na nyuki na kuwa fertilized tu, basi hapo hapo tuliite embe, tulichume tukafanye achari
 
Thank you

Pia hili suala la mimba wakati mwingine wanalaumiwa sana kinadada wakati mwingine kinakaka nao ving'ang'anizi kiasi kwamba mrembo wake anaweza kuwa ktk danger lakini anakomaa mpaka basi mwanamke anaangalia kalenda yake anajiona kama bado vile mwisho wa siku kimenasa. Nadhani kuna haja ya hata wakaka wajifunze hivi vitu maana wengine kazi yao ni kushughulika mimba ikipatikana wanajua kukana kama sio kukana wengi wanakupa hope kama wapo na wewe kumbe anakulia timing aweze kukuchomoka taratibu.
 
Sijakataa ushauri wa Queen Kami hata chembe. Nakataa tu kuwa mimba ya siku moja tayari ni binaadamu. Ni uhai, lakini si binaadamu

Maana kama ni hivyo, ua la muembe likituliwa na nyuki na kuwa fertilized tu, basi hapo hapo tuliite embe, tulichume tukafanye achari

Nimekupata mdau
 
Karudie tena kusoma hizo theories, zilishagundulika kuwa hazikuwa za kweli siku nyingi.

Ukiulizwa kwenye mtihani utajibu ili ufaulu lakini ukirudi uraiani huku inabidi tuangalie mahusiano ya kima na mjusi kama babu na bibi, kweli arudi akajipange upya. Maana mwngine atakuja na statement ya all living organisms are originated from water
 
We nawe sasa umezidisha unajifanya mtakatifu sana, na kwanini unamuhukumu binadamu mwenzio?

vyovyote utakavyoona huo ndo mtizamo wangu,kwangu mimi kutoa mimba ni uuaji sasa kama wewe unaona najifanya mtakatifu kwa kuita hicho kitendo ni mauaji ya kikatili poa tu.
Mbona wewe umenihukumu kwa kusema najifanya mtakatifu kisa tu nimesema nikipewa maji na muuaji/mtoa mimba sitakunywa?semeni msemayo watoa mimba ni wauaji............................
 
Sio mijusi na kenge inayoanzia uhai kwenye binaadamu bali uhai wa binaadamu umeanzia kupitia kwao wao

Kwa ufupi ni kuwa kima na mijusi ni babu na bibi zako

Tukiamua kwenda hivyo tutafika mahali tuseme mijusi, kenge, na kima ni binaadamu

Kwa hiyo kuua mjusi ni sawa na kuua bibi yako [mjusi is more of a babu I suppose].

Anaemuua mjusi kaua binaadamu

Huyo rafiki yako simzima! Kwa hiyo alikuwa hajuai ana ua!

Kwa hiyo alikuwa hajui mimba nini?

Nia yake ilikuwa ni kutaoa mimba wala si mabonge ya damu!

Wale wale wauaji
ange kwambia sababu nyingine siyo hiyo!

au labda alidhani anatoa mjusi au kenge ndo maana hakufeel guilty
LOL LOL LOL
 
hahaah queenkami mambo? usijali najua li iPhone hujalizoea mwanawane.

mada nzuri, kutoa mimba kwa makusudi haikubaliki kabisa

mambo mazuri bro,nina masikitiko tu juu ya mauaji ya kinyama halafu watu wanajifanya eti walidhani wanatoa mabonge bonge ya damu mara ooh mjusi na kenge.mauaji ni mauaji tu hayana jina la kuyaremba.
hehehee li gadget kweli linanisumbua si unajua tena lol
 
Back
Top Bottom